Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti.

Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT anawekwa kwenye hicho kiti na Waatanzania hata kama amerithi toka kwaa mtangulizi ambaye ameshindwa kuendelea na majukumu iwe kwa kifo, maradhi na mangineo.

Hivyo, Rais Samia waliokuweka kwenye hicho kiti ili uwaongoze ni Watanzania period.

Nimekusikia zaidi ya mara 2 kwa masikio yangu ukiita malalamiko genuine kabisa ya maboss wako yaani Watanzania kuwa ni kelele. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye kuongezeka kwa bei ya mafuta kutokana na kuongezwa kwa kodi na mara ya pili ilikuwa kwenye hizi tozo za dhulma za miamala. Rais Samia, tofauti na mtangulizi wako wewe unakifahamu vzr sana Kiwahili, kelele na malalamiko ni vitu viwili tofauti kabisa.

Malalamiko ya maboss wako huwezi kuyaita kelele kama huwadharau. Matumizi ya neno kelele ni dalili za waziwazi kwamba unawachukulia poa sana maboss zako. Kuwadharau unaowangoza ambao ndiyo waliokupa hiyo nafasi si sahihi hata kidogo.

Kama haitoshi juzi nimekusikia tena ukisema kwamba ninanukuu 'Ninatamani sana kukutana na vyama vya upinzania ila wamechambuka sana angalau sasa wameanza kuwa na mabaraza' mwisho wa kunukuu. Kwa maneno mengine ulimaanisha kwamba utakuwa tyr kukutana na vyama vya upinzani endapo vitaunganishwa kwa namna moja ama nyingine.

Hizi nazo ni dharau tu hakuna kingine mama. Vyama vya siasa nchi hii haavifiki 100 na msajili anayo register ya hivyo vyama kila kimoja kina malengo yake. Vyama vya siasa si vyama vya wafanyakazi kwamba wataunda federations kama ilivyo tucta etc. Unataka vyama vya siasa viunde trade unions ndiyo ukutane navyo? Mzee Kikwete alikutana mara kadhaa na vyama vya siasa hakuhitaji hayo yako.

Kwa mujibu ya katiba ya JMT, CUF na CCM vyote ni vyama vya siasa tofauti tu ni kwamba CCM iko madarakani. Kuiambia kwamba ili ukutane na CUF lazima ijiunge kwenye baraza hizi ni dharau tu hakuna kingine. Wewe unaswali ninaamini kwamba unaamini yupo Mungu. The fact kwamba CCM iko madarakani haiamaanishi kwamba CCM ni superior kwa CUF ni suala la wakati na majaliwa ya Mungu.

Mwisho nilitarajia sana kifo cha aliyekuwa Rais wa JMT kitukumbushe kwamba wanadamu ni wapitaji tu duniani. Kumdharau mwanadamu mwingine sababu ya nafasi ambayo Mungu amekupa ni makosa makubwa. Kuwa kiongozi si ticket ya ww kuwa bora kuliko unayemuongoza ni suala la ratiba tu ya aliye juu kuliko vyote yaani Mungu kwa sisi tunaoamini uwepo wake.
Wewe ni chama gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Mama usikaze shingo swala la tozo halitakuacha salama ulisema utalishughulikia ila naona kina ndugai wanakuzidi nguvu na wanakupotosha,jambo jingine nakueleza la kweli kabisa nilikuwa kijijini huko kaskazini kwenye msiba ikatangazwa watu wenye miaka kuanzia 18 wakajiandikishe kuwaajiri ya chanjo lakini jambo hili halikupokelewa vizuri likaacha minong'ono mahali pale,sasa wewe unaoneka msaliti wa mtangulizi wako ambae alikubalika sana hasa huko vijijini kwa namna lilivyotangazwa ilionekana ni kama tunakoelekea swala hili ni lazima,angalieni sana mnavyotaka kuliendesha swala hili msipokuwa makini litakuwa jiwe la kujikwaa.
 
Mama tuachie nchi yetu.
#Bring back our country#!
Hiyo mibangi machadema mnayovuta yamewalandua akili, kuanzia Mkapa mlisema awaachie nchi, mkaja kwa Jakaya, mkamwita dhaifu, akaja Jpm , mkalalama ooh, dikteta, kaja mama mkaanza kumsifia alipoamua kusimamia Sheria na kuziacha huru mahakama kushughulikia kesi kama za akina Sabaya mkasema, "Mama anaupiga mwingi"Leo Mbowe kukamatwa, ooh "bring back our country" hata hamjitambui, akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
 
Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti.

Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT anawekwa kwenye hicho kiti na Waatanzania hata kama amerithi toka kwaa mtangulizi ambaye ameshindwa kuendelea na majukumu iwe kwa kifo, maradhi na mangineo.

Hivyo, Rais Samia waliokuweka kwenye hicho kiti ili uwaongoze ni Watanzania period.

Nimekusikia zaidi ya mara 2 kwa masikio yangu ukiita malalamiko genuine kabisa ya maboss wako yaani Watanzania kuwa ni kelele. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye kuongezeka kwa bei ya mafuta kutokana na kuongezwa kwa kodi na mara ya pili ilikuwa kwenye hizi tozo za dhulma za miamala. Rais Samia, tofauti na mtangulizi wako wewe unakifahamu vzr sana Kiwahili, kelele na malalamiko ni vitu viwili tofauti kabisa.

Malalamiko ya maboss wako huwezi kuyaita kelele kama huwadharau. Matumizi ya neno kelele ni dalili za waziwazi kwamba unawachukulia poa sana maboss zako. Kuwadharau unaowangoza ambao ndiyo waliokupa hiyo nafasi si sahihi hata kidogo.

Kama haitoshi juzi nimekusikia tena ukisema kwamba ninanukuu 'Ninatamani sana kukutana na vyama vya upinzania ila wamechambuka sana angalau sasa wameanza kuwa na mabaraza' mwisho wa kunukuu. Kwa maneno mengine ulimaanisha kwamba utakuwa tyr kukutana na vyama vya upinzani endapo vitaunganishwa kwa namna moja ama nyingine.

Hizi nazo ni dharau tu hakuna kingine mama. Vyama vya siasa nchi hii haavifiki 100 na msajili anayo register ya hivyo vyama kila kimoja kina malengo yake. Vyama vya siasa si vyama vya wafanyakazi kwamba wataunda federations kama ilivyo tucta etc. Unataka vyama vya siasa viunde trade unions ndiyo ukutane navyo? Mzee Kikwete alikutana mara kadhaa na vyama vya siasa hakuhitaji hayo yako.

Kwa mujibu ya katiba ya JMT, CUF na CCM vyote ni vyama vya siasa tofauti tu ni kwamba CCM iko madarakani. Kuiambia kwamba ili ukutane na CUF lazima ijiunge kwenye baraza hizi ni dharau tu hakuna kingine. Wewe unaswali ninaamini kwamba unaamini yupo Mungu. The fact kwamba CCM iko madarakani haiamaanishi kwamba CCM ni superior kwa CUF ni suala la wakati na majaliwa ya Mungu.

Mwisho nilitarajia sana kifo cha aliyekuwa Rais wa JMT kitukumbushe kwamba wanadamu ni wapitaji tu duniani. Kumdharau mwanadamu mwingine sababu ya nafasi ambayo Mungu amekupa ni makosa makubwa. Kuwa kiongozi si ticket ya ww kuwa bora kuliko unayemuongoza ni suala la ratiba tu ya aliye juu kuliko vyote yaani Mungu kwa sisi tunaoamini uwepo wake.
acha kudemka usubuhi hii na kelele zako.Piga kazi
 
Mmechambukachambuka.
Baraza la vyama lina usajili?
Ikijatokea upinzani ukashika dola Chama dume kitajiunga na balaza la upinzani?
Sera zao zinafanana na itikadi zinafanana?

Ni dharau tu mkuu hakuna kingine. Washindani wako ambao wapo kwa mujibu wa sheria unasemaje wamechambukachambuka? So ina maana basi sheria ifanyiwe marekebisho ili wasichambukechambuke ndiyo ukutane nao?. Huwezi kutumia hii lugha anayoitumia huyu mama kama kichwani mwako hufikiri kwamba CCM itabaki madarakani milele na vyama vya upinzani vitabaki hivyo milele. Hii thinking ni very very wrong na ni hasara kwa nchi big time .Uhuru Kenyatta hawezi kuwaza hivi maana anafahamu Kenya ni ya Wakenya si ya Jubilee. Baraza la vyama vya siasa halipo kisheria.
 
Urasi watu walijua ni kula bata tu kumbe ni mzigo tosha na ni lazima uwe inteligent kidogo maana unawaza kwa niaba ya population nzima ,ndiomaana Obama alipokua madarakani alizeekaaaaa kwasababu anahangaika usiku na mchana kudigest mambo magumu lakini huku kwetu mtu anakaa tu wala hana impact muda wake ukiisha asepe na ndiomaana muda wao ukifika wanakomaa hawataki kutoka
 
Hiyo ndio shida ya viongozi wa Tanzakiza kiburi,majivuno,dharau na kulewa madaraka kwa kujiona wanajua kila kitu na kujiona ni first class citizen.

Leo wananchi wamekuwa wanalalamika juu ya mfumuko wa bei rais anachukulia simple tu, na hii ni kutokana na kutumia Kodi za wananchi wanafavyotaka kwa kununuliwa kila kitu hata kwenye shughuli fulani Binafsi nje na kazi wanatumia Mali za Umma bila haya na aibu.

Na aina ya ujuaji wake umemfanya kuumbuka kwenye mahojiano ya ana kwa ana na BBC ameonakana ni rais asiye jua vitu vidogo vidogo sana ukilinganisha na hadhi yake ya urais na mwisho kuonekana mtu asiye na exposure yoyote na low IQ.

SSH ana jina la rais wa nchi lakini hana uwezo wa kuwa rais mfano anaulizwa ulitarajia kuwa rais jibu ni hapana kwa uelewa wa kawaida inaonesha hakujua majukumu yake kipindi akiwa VP na hii ishara kwamba tuna mifumo mibovu ya kuandaa viongozi wa kitaifa.

"Maendeleo hayana chama ndugu zangu "alisikika mlevi mmoja akisema.
 
Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti.

Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT anawekwa kwenye hicho kiti na Waatanzania hata kama amerithi toka kwaa mtangulizi ambaye ameshindwa kuendelea na majukumu iwe kwa kifo, maradhi na mangineo.

Hivyo, Rais Samia waliokuweka kwenye hicho kiti ili uwaongoze ni Watanzania period.

Nimekusikia zaidi ya mara 2 kwa masikio yangu ukiita malalamiko genuine kabisa ya maboss wako yaani Watanzania kuwa ni kelele. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye kuongezeka kwa bei ya mafuta kutokana na kuongezwa kwa kodi na mara ya pili ilikuwa kwenye hizi tozo za dhulma za miamala. Rais Samia, tofauti na mtangulizi wako wewe unakifahamu vzr sana Kiwahili, kelele na malalamiko ni vitu viwili tofauti kabisa.

Malalamiko ya maboss wako huwezi kuyaita kelele kama huwadharau. Matumizi ya neno kelele ni dalili za waziwazi kwamba unawachukulia poa sana maboss zako. Kuwadharau unaowangoza ambao ndiyo waliokupa hiyo nafasi si sahihi hata kidogo.

Kama haitoshi juzi nimekusikia tena ukisema kwamba ninanukuu 'Ninatamani sana kukutana na vyama vya upinzania ila wamechambuka sana angalau sasa wameanza kuwa na mabaraza' mwisho wa kunukuu. Kwa maneno mengine ulimaanisha kwamba utakuwa tyr kukutana na vyama vya upinzani endapo vitaunganishwa kwa namna moja ama nyingine.

Hizi nazo ni dharau tu hakuna kingine mama. Vyama vya siasa nchi hii haavifiki 100 na msajili anayo register ya hivyo vyama kila kimoja kina malengo yake. Vyama vya siasa si vyama vya wafanyakazi kwamba wataunda federations kama ilivyo tucta etc. Unataka vyama vya siasa viunde trade unions ndiyo ukutane navyo? Mzee Kikwete alikutana mara kadhaa na vyama vya siasa hakuhitaji hayo yako.

Kwa mujibu ya katiba ya JMT, CUF na CCM vyote ni vyama vya siasa tofauti tu ni kwamba CCM iko madarakani. Kuiambia kwamba ili ukutane na CUF lazima ijiunge kwenye baraza hizi ni dharau tu hakuna kingine. Wewe unaswali ninaamini kwamba unaamini yupo Mungu. The fact kwamba CCM iko madarakani haiamaanishi kwamba CCM ni superior kwa CUF ni suala la wakati na majaliwa ya Mungu.

Mwisho nilitarajia sana kifo cha aliyekuwa Rais wa JMT kitukumbushe kwamba wanadamu ni wapitaji tu duniani. Kumdharau mwanadamu mwingine sababu ya nafasi ambayo Mungu amekupa ni makosa makubwa. Kuwa kiongozi si ticket ya ww kuwa bora kuliko unayemuongoza ni suala la ratiba tu ya aliye juu kuliko vyote yaani Mungu kwa sisi tunaoamini uwepo wake.
Watu wa ccm hawana legitimacy ya kutawala nchi hii,wapo pale kijambazi,
Uchaguzi uliopita,waliiba kula,wapo pale kwa mtutu wa bunduki,wanajua kabisa kwenye uchaguzi huru na haki,Tena wazi,watapoteza kila kitu asubuhi.
Huyu mama alishawahi kuwaambia wananchi,kwamba,"hata wakiwapa kura wengine,ccm ndiyo itaunda serikali"
 
If you want to test men's character, give them power.

Sikutegemea huyu Mama abehave namna hii na anavyojifanya mcha 'mungu'...
Mkuu na usn*ch juu alikuwa naibu mwenyekiti kwenye bunge la katiba Leo anasukumiwa chakula alichokula kikabaki akimalize anaona ni kibaya Sana wakati alipopewa alikifakamia kweli kweli.
 
Hiyo mibangi machadema mnayovuta yamewalandua akili, kuanzia Mkapa mlisema awaachie nchi, mkaja kwa Jakaya, mkamwita dhaifu, akaja Jpm , mkalalama ooh, dikteta, kaja mama mkaanza kumsifia alipoamua kusimamia Sheria na kuziacha huru mahakama kushughulikia kesi kama za akina Sabaya mkasema, "Mama anaupiga mwingi"Leo Mbowe kukamatwa, ooh "bring back our country" hata hamjitambui, akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
Hii mijitu ni mijinga sana aiseeee
 
Back
Top Bottom