Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.
IMG-20230714-WA0531.jpg
8-4-scaled.jpg
20230820_120046.jpg
 
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Kwanini usitafute hela na ww ukawa tajiri Rais samia akaja kukutembelea ??
 
Maisha si kuajiriwa peke yake.Kama Rais alitakiwa aondoe tozo zinazowanyonya masikini.
Raisi anatakiwa kuwawezesha raia wake wawe na uwezo wa kulipa kodi sio kuwafanya wabaki wanyonge wakisubiri huruma za viongozi.

Kajifunzeni kwenye baadhi ya koo uchagani ambao akili zao zimejikita kuwafanya walio chini wawe juu kiuchumi.
 
Kwani watanzania hawalipi kodi?
 
Waislamu na hata baadhi ya Wakristo wa Kiafrika wako hivyo hawaielewi falsafa ya Dini ndiyo maana Umaskini umetamalaki, wengi Waafrika wetu weusi huamini kabisa watu ambao hawakubahatika kuwa na mali masikini na fukara ni shida yao na makosa yao ndiyo yaliowafanya wawe masikini sasa mtu wa namna hiyo hawezi kutatua matatizo ya walio wengi …
 
Kwani watanzania hawalipi kodi?
Kama wanalipa ipasavyo kwanini bajeti yetu ya maendeleo kila mwaka iendeshwe kwa mikopo na misaada? Hatuna taxbase ya kutosha. Walipa kodi ni wachache. Raia ni masikini na hawana ajira wala vipato vya kutegemewa na nchi kikodi. Tozo tu imewekwa watu wanalia. Tunatakiwa tuwe na raia wasio wanyonge kifedha.
 
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Rais wa Matajiri na Machawa!
 
Uchumi umekufa , maisha ya wananchi ni duni sana !
 
-Mwendazake alishusha mbaazi hadi sh 200 mama wa Watu kazirudisha mpaka sasa ni zaidi ya 2000, wakulima Wamefaidika wengi kuuza mazao kwa Bei nzuri na wengi tumeshuhudia.

-Kaongeza minimum wages zaidi ya Asilimia 20, minimum wages ni za masikini wanaopata mishahara ya laki 3.

-Kaongeza mishahara madaraja yote

-Budget ya Afya for the first Ever imekuwa doubled toka Trilioni 1 mpaka 2 Matajiri hii budget wala haiwahusu

-Kazunguka Nchi Zote Majirani mkawa mnamnanga humu sasa hivi Tz umejaa waongo, wazambia, Malawi na mataifa mengine ya majirani wanakuja kufungasha mizigo hapa, hadi machinga wanafaidika.

Ila yote haya hamuyaoni chuki zimewajaa, muogopeni Mungu siku mtakuja kusimamishwa mbele yake mtakuja kujibu yote haya.
 
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.

Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.

Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k

Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.

Ongezeeni na nyie.View attachment 2722741View attachment 2722745View attachment 2722748
Hata teuzi ni kwa wale wale waliomo kwenye mzunguko wao!
 
Back
Top Bottom