Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari.
Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana.
Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni matajiri.Imagine unanunua magoli ,kuna shule hata madawati hazina.
Tatu amekuwa akitembelea viongozi, si mbaya ila kwa nini hatembelei masikini ili awawezeshe ?Tokea awe Rais ,hivi kishafika Lindi,Manyoni,Sumbawanga,Songea,Iringa ,Simiyu,Mtwara?
Nne sera zake ni za kuumiza zaidi wananchi masikini na kufavor matajiri
Fikiria Tozo n.k
Umeme imekuwa tatizo sana,hii inaumiza sana maskini,maana matajiri wao wana magenerator.
Ongezeeni na nyie.