Amekaa kwa dereva au mimi sijaielewa pichaRais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3384424
View attachment 3384423
Kwaajili gani?hadi Agosti.
Mbona anashikwashikwa na kila mtu
Lucas mashambwa u wapi watu wanajichukulia majukumu yako, utabubujikwaje sasaRais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3384424
View attachment 3384423
Kama yule aliyekwenda kubembea North America mwaka uleRaisi anakula bata huyu .
Kishua sanaKibosi au sio
Unamaanisha huduma kama hizi?Safi sana hivi ndivyo inatakiwa huduma zote za umma ziwe hivyo ziwe classic iwe usafiri,shule za msingi na za sekondari za umma na hospital nk ziwe na huduma nzuri kiasi kuwa hata viongozi wapende kuzitumia na familia zao huduma za umma
Safi sana .Raisi Samia ni mwanzo mzuri na hiyo SGR
Yupo anaendelea kukusanya CV ya Salama Kikwete, nadhani ashakua msukule wa hiyo familia.Lucas mashambwa u wapi watu wanajichukulia majukumu yako, utabubujikwaje sasa
Reforms za uchaguziKwaajili gani?
Kinyamwezi kabisa yanKishua sana
Transparent Bullet proof cabin coach kama ni hivyo ni sawa, maana nilivyoliona nikaona kisusalama kwa Raisi ni mdogo kwa hivyo vioo nikawa na mashaka.
Mama hekahekaRais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa hivi America na EU hakanyagi kabisaNa yeye aage kabisa kabisa, na hata kama akirudi kwa nguvu hatakuwa na heshiman yoyote ile nndani na nje ya nchi.
Royal ClassHilo Behewa alilokaa, ndo 1St class? Au nini sijui. Lol
Akikanyaga wanamdevela fastaSasa hivi America na EU hakanyagi kabisa
Kwamba Rais akipanda SGR hiyo ni taarifa kwa umma.Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.