Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Kwani NDEGE ANAZO NUNUA NA ZA NANI? Tuanzie hapo kwanza
Aisee, umeuliza swali zuri sana. Kwanini tuingie gharama za kununa ndege kama azma ya serikali ni kuwagawia Sekta binafsi? Kwanini wasiwaachie hao sekta binafsi wao ndie wanunue hizo ndege. Kwanini tutumie fedha za umma na kodi ya mwananchi???

Huyu SSH ameanza kufura-hakika sikuwa nimefanya makosa kusema baada ya ziara yao uarabuni akiwa na Shaka H Shaka(CCM) kuwa, kulikuwa na marobota ya kutosheleza nguvu za CCM kiuchaguzi....
Safari hii, Uchaguzi haununuliki?

CCM must go!
 
Aliyekwambia hatuangalii mkataba ni Nani we unaiona serikali ya Samia ni ya kipumbavu mpaka ishindwe kufanya mikataba mizuri? Hivi nyie majizi mnataka hiyo bandari iendelee kudumaa mpaka lini?
Huna akili kama ambavyo mmeingia mkataba hauna akili
 
....hata nasikio...
Haya Mkuu. Ha ha haaaa!
===
Mkuu SYLLOGIST! Umenistua ujue!
Aisee, umeuliza swali zuri sana. Kwanini tuingie gharama za kununa ndege kama azma ya serikali ni kuwagawia Sekta binafsi? Kwanini wasiwaachie hao sekta binafsi wao ndie wanunue hizo ndege. Kwanini tutumie fedha za umma na kodi ya mwananchi???
 
Haitwezekana asema Bwana, afanye tutona naapa Mungu wangu yupo up to date ,tulimwambia mwendazake hakusikia, afanye tu but note this
 
Mnajitahidi Sana kupotosha lkn hamtazuia chochote, kununua ndege serikali na kuweka kampuni izisimamie haimanishi imekuwa Mali ya aliyepewa kusimamia, we umenunua boda ukampa dere Kwa siku alete elf10 service za pikipik juu yake hiyo haimanishi kuwa pikipik sio yako tena!!
 
Akili yako kama ya Samia, unadhani muhimu ni kutoa kila kitu kwa sekta binafsi bila hata kuangalia mkataba unaoingia nao unasema nini!.
Wewe ni mbuzi sector binafsi ndio engine ya maendeleo, wewe unafikili watu wote serikalini niwajinga kuingia mkataba bila kufanya cross checking, kuongeza ufanisi kwa kushirikisha watu wenye uwezo sio Jambo baya na wala sio kuuza bandari kama mnavyoeneza conspiracies zenu
 
Swala sio biashara nani afanye hapa tatizo anaepewa hizo biashara,bandari anasimamia au anemilikishwa? hapa ndotatizo lilipo,
 
ndo maana unauza bandari yetu kwa waarabu, hatukubali - bora tufe maskini lakin bandari ibaki wajukuu zetu waikute. Kama Mwalimu angekuwa na tamaa si angewauzia waingeleza kila kitu sisi tungekuta mikataba tu kwenye makaratasi.
 
Hiyo ndio haiwezekani sasa. Mapato anadeclare mwekezaji
 
Mkapa alifanya haya tukaangukia pua. Huyu mama anarudi kulekulealikopita nkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…