Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Wazungu weusi wamegeuka wasemaji wa serikali, wanapinga kwa nguvu zote, bila shaka wanafaidika sana hawa na huu mfumo,
Ni sasa tu tujue mbivu au mbichi
 
Acheni hizo, majuzi tuliaambiwa wafanyakazi walikuwa wakijaza fomu maalumu ambazo waliulizwa makabila na dini zao!
Sijui nani alituloga sisi wadanganyika!
Kuna Tatizo huyo aliyeagiza hill hizo
Sababu ok akiweko muislamu atapebdelea waislamu sababu Rekodi anazo za wafanyakazi na dini zao akija msabato atabeba wasabato sababu na kupiga chini wakristo wasio wasabato na waislamu sababu Rekodi za dini zao zote anazo

Akishika Katoliki atapiga chini wakristo wasio katoliki sababu Rekodi anazo za dini zao

Huyo aliyeprint hizo fomu hajui madhara yatakayofuata mbeleni kwa kuweka hizo Rekodi za dini na kabila la mtumishi mbeleni

Ogapa kuwa na permanent Rekodi za kabila na dini kwenye public office kwaweza ukiwa watu wengine leo au siku zijazo lakini iko siku hizo taarifa ataumia sana
 
No, no, no
Tunataka kuhesabiwa kwa dini zetu, tujuane tu, hii itasaidia katika mgawanyo wa mambo mengi tu,
Wakati ni sasa,
Unyonge na uonevu uishe
Kwahio tuanze kugawana mambo kwa kuanglia imani zetu? Na wasio na Imani Je? Kodi zao zigharamie Imani ya wengine?
 
Waondoe dini waweke kisanduku cha kutiki kama unakubaliana na yanayofanywa na CCM kwa miaka 45 watapata majibu
 
Na kuna siri gani maana waisilam wengi ndio wanataka serikali ihesabu watu kwa kufuata dini kwani msikitini hakuna orodha ya waumini!? Kwenye uisilamu hakuna mfumo wa kuhesabiana hadi watake serikali iwasaidie?
 
Hapa ndio unapoona kuna watu ni wapumbavu.

Kama mnaataka mjijue nyie ni wangapi kwanini msihesabiane huko kwenye nyumba zenu za ibada?

Kwanini tutumie kodi zetu ili tujue idadi yenu ambayo haina maslahi kwa watu wengine.

Kama hiyo inawashinda na mnawashwa sana kujua idadi ya watu kwa msingi wa imani angalieni katika kila mkoa kwa kutumia akili zenu mtajua majority ni kina nani , mkishajua mjen mtuambie imewasaidia nini kama sio ujinga na upumbavu.
 
Halafu mkishajijua mko wengi itasaidia nini? Inaonekana bado uko kwenye utumwa wa dini.
 
Kama nyie mpo wengi si mkajihesabu huko mnapoabudia? Au hamfikagi? Suala la dini ipo wazi anayetaka kujihesabu hajakatazwa afanye hivyo lakini msimamo wa serikali hapana, ukiwa mnataka kujijua mpo wangapi jikusanyeni mjihesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…