pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wazungu weusi wamegeuka wasemaji wa serikali, wanapinga kwa nguvu zote, bila shaka wanafaidika sana hawa na huu mfumo,
Ni sasa tu tujue mbivu au mbichi
Ni sasa tu tujue mbivu au mbichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Tatizo huyo aliyeagiza hill hizoAcheni hizo, majuzi tuliaambiwa wafanyakazi walikuwa wakijaza fomu maalumu ambazo waliulizwa makabila na dini zao!
Sijui nani alituloga sisi wadanganyika!
Kwahio tuanze kugawana mambo kwa kuanglia imani zetu? Na wasio na Imani Je? Kodi zao zigharamie Imani ya wengine?No, no, no
Tunataka kuhesabiwa kwa dini zetu, tujuane tu, hii itasaidia katika mgawanyo wa mambo mengi tu,
Wakati ni sasa,
Unyonge na uonevu uishe
Hata asingelikataa Nyerere, hilo swali kwenye sensa halihusuki kabisa.
Kwa nini utake serikali ikusaidie kuhesabu waumini wakoWazungu weusi wamegeuka wasemaji wa serikali, wanapinga kwa nguvu zote, bila shaka wanafaidika sana hawa na huu mfumo,
Ni sasa tu tujue mbivu au mbichi
Si mjihesabu huko misikitini? Acheni chokochokoNo, no, no
Tunataka kuhesabiwa kwa dini zetu, tujuane tu, hii itasaidia katika mgawanyo wa mambo mengi tu,
Wakati ni sasa,
Unyonge na uonevu uishe
Hawa Job Description yao ni Kutangaza Imani/Dini?Wakuu wa mikoa,wa wilaya,wakurugenzi
Na kadhalika,
Usinambie nyie hamkusoma utaanzisha ligi nyingine ujue
Kwanini ameenda kuongea na wanawake wa Zanzibar, kwani bara anapoongoza hakuna wanawake?
Naona hii tabia ya marais kupendelea kwao inaanza kuota mizizi ya kijinga.
Halafu mkishajijua mko wengi itasaidia nini? Inaonekana bado uko kwenye utumwa wa dini.Hawa CCM sijuwi nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi rais wa 2010 akiwa hai.
Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajuwa Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujuwa mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.
Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.
Lakini ukija kwa wanaokataa sijuwi tuseme ni hofu au kitu gani sijuw au ndio izo fikira za nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakiristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.
Nadhan kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo
Tanganyika iko wapi? Mbona siioni kwenye ramani au nikiitafuta kwenye Google maps? Ina maana kuna watu wametoka nchi isiyokuwepo? Maajabu sana.Kwa jasho la watanganyika
Kwa jasho la watanganyika
Alafu mkishajijua mko wengi itasaidia nini?.Inaonekana bado uko kwenye utumwa wa dini.
Kama nyie mpo wengi si mkajihesabu huko mnapoabudia? Au hamfikagi? Suala la dini ipo wazi anayetaka kujihesabu hajakatazwa afanye hivyo lakini msimamo wa serikali hapana, ukiwa mnataka kujijua mpo wangapi jikusanyeni mjihesabu.Hawa CCM sijuwi nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi rais wa 2010 akiwa hai.