Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

issue ni moja tu, jihesabuni. Anzeni kwenye ngazi ya familia mpaka kwenye misikiti na kwa wakristo mkitaka kujihesabu anzeni kwenye vipaimara na ubatizo, ila sisi Tanzania tutakuhesabu kama mwananchi.
Kama ni kwa jeuri hizi waislam wataanzisha kampeni yao
 

Kwahiyo kwa mawazo yako unahisi ikitokea waisilamu ni wengi itatokea vita?? Hivi unadhani uislamu ni vita!!! Hicho kikundi huko Nigeria una uhakika gani kama ni waisilamu au wame2mwa na waislamu?? Muwe mnajiongeza na co kuropoka
 
haya mambo ya dini ni upuuzi mtupu nakumbuka sensa ya mwisho kuna dini moja hivi yenye misimamo mikali iligoma kabisa kuhesabiwa wakidai kuwa ni haramu, kuna baadhi ya nyumba maafisa sensa walitimuliwa na kareti, sasa nashangaa sasa hivi wanang'ang'ania kuhesabiwa wakati mwanzo walidai ni haramu. Tuache double standards
 

Duhh,,mwanaume mzima unaandika haya!!! Hata mtoto mdogo atakucheka
 
dini yako peleka ukale na mkeo. Zama hizi nguvu ya teknolojia na uchumi ndiyo itakayoonyesha mustakabari wa mtu mmoja mmoja na jamii
 
Jambo la ajabu sana! Sensa hukusudia kutoa taarifa za watu kuanzia umri, jinsia, na hata dini.

Sio udini kuuliza dini ya mtu! Ni vizuri kujua idadi ili kutengeneza mazingira ya kutendea haki waumini husika!
 
Wakuu wa mikoa, wa wilaya, wakurugenzi
Na kadhalika,
Usinambie nyie hamkusoma utaanzisha ligi nyingine ujue
Ni mikoa 6 tu ambayo angalau idadi ya waisilamu na wakristo haijazidiana sana nayo ni Tanga, Mtwara, Dar, Lindi , Pwani na mkoani kigoma ni wilaya ya kigoma ujiji. Kwingine kote hakuna waisilam wa kihiivyo kwa hiyo acheni kuipaka matope serikali kwamba eti inapendelea wakristo. Kutokana na ukweli huo ndio maana hakuna mkristo anaelalamikia serikali ya zanzibar kwamba inawabagu wakristo.
 

Unajua unachokiongea? Pwani yote+tanga na kigoma mbali na vijisensa vyenu vya uongo lakini kwa macho tu waisilamu ni wengi sana. Eti hawatofautiani sana 😁😁


Kutokana na ukweli huo ndio maana hakuna mkristo anaelalamikia serikali ya zanzibar kwamba inawabagu wakristo.

Hata wakilalamika wataonekana wapumbavu tu, heri wawe wapole tu,,,maana zanzibar ni nchi ya kiislamu, waisilamu ni zaidi ya 90% pale . So hata wakilalamika ni kazi bure tu 😁😁
 
Sijatakaa kwamba ni wengi ndio maana nimesema idadi haitofautiani sana hii ni hata bila kutumia sensa ni kutumia tu akili ya kawaida
 
Mambo ya kabila na dini sio vipaumbele vya maendeleo ya Taifa letu. Watu wanataka ajira, maji, barabara zinazopitika etc.
Ni ajenda ya wajinga wachache kutaka kuingiza mambo ya dini na kabila kwenye sensa
 
Sijatakaa kwamba ni wengi ndio maana nimesema idadi haitofautiani sana hii ni hata bila kutumia sensa ni kutumia tu akili ya kawaida
Kwa mfano, waislamu ni wengi kuliko wakristu..inatusaidia nini? Mbona wayahudi wako wachache na wanawatesa waarabu kama wanavyotaka? Tuache ajenda za kijinga. Ni watu wajinga pekee wanaoishi dunia hii kwa kujifanya wako karibi sana na Mungu na kuanza kubagua wenzao
 
 
Tatizo ni akili za kushikiwa! Mtu timamu wa dunia hii ya kisasa ya teknolojia hawezi waza tope la udongo mweusi ambalo halina faida zaidi ya kilimo tu, kama ilivyo dini ni mahusiano kati ya muumini na mungu tu... Hamna lingine.
 
Swali pendwa la dini liwepo, ili tiwaonyeshe kwamba sisi waislam ni wengi nchi hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Suala la dini linaweza kuwa la muhimu mana pia takwimu zinawekwa sawa kujua idadi ya watu Kwa dini zao na madhehebu yao . Kwa Upande wa wakristo wao hua Wanaweka takwimu za madhehu yao Kwa uhakika kuliko hata serikali. Japo Kwa Sasa yameibuka makongamano ya manabii binafsi ambao hawana hata Orodha ya waumini wao zaidi ya kukutana na kutawanyika kama kwenye kumbi za disco . Hawa wameondoa uwezekano wa wakristo nao kutokujua idadi yao kamili.

Tahadhari mara zote inachukuliwa Kwa sababu Kuna watu wanatumia dini kujinufaisha na kuleta chokochoko za kisiasa na hata kujaribu kuleta itikadi Kali za kidini wanapogundua kuwa ni wengi kuliko dini nyengine. Hilo limejaribu sana kujitokeza hapa Tanzania .
Nchi za Kiarabu zinajaribu sana kueneza utamaduni wao kama zilivyo zile za magharibi na walengwa wakubwa ni Afrika ambao wametupa utamadunia wao na kuuona kuwa ni wakijinga na usiofaa. Waafrika wameaminishwa na Hawa wazungu na Waarabu kuwa Imani na tamaduni za Kiafrika ni upagani na tamaduni zao wametuaminisha kuwa zimetoka Kwa Mungu. Harakati na mivutano ya siasa za Dunia kati ya Uzungu na Uarabu vimeleta changamoto kubwa sana Duniani.

Waarabu wamekua wakitoa fedha nyingi sana Afrika Kwa ajili ya kuweka serikali zenye Tamaduni na desturi za Kiarabu kwenye maeneo yenye Watu wenye Mirengo ya kimashariki ya Kati hasa Uarabuni na kujificha kwenye kivuli Cha dini.
Kuna mitandao ya matajiri wakubwa sana wanaopata fedha nyingi sana Kwa michongo ya kujifanya kuwa wanaweza kuifanya nchi itawalike Kiarabu arabu na tamaduni zao.
Kwa hiyo watu kama hao wananufaika na siasa za kidini. Wao hawajali amani na uhuru wa watu wanachoaangalia ni pesa na Mali wanazopata Kutoka Uarabuni.

Pamoja na mengine lakini JPM alijua Mapesa yanayotoka nje Mengi yanakuja na agenda mbaya za kuwagawa watu kidini na kitamaduni ndio maana wengine wanakuja na tabia za ushoga na udini. Udini unaweza ukaliangamiza Taifa na ushoga pia unaliangamiza Taifa . Japo Kwa nchi za magaharibi Udini ni tishio zaidi mana inakuja mara nyingine na ugaidi.Yote ni Kwa sababu ya fedha chafu za kuleta mambo machafu na mengine ya kugawa watu.
 
Hahaha noumaa, Angalia Afghanistani huko waislaam kindakindaki (achana na wa huku bongo wa mchongo) huko wameshindwa hio inayoitwa Sharia na Mahakama ya Kiislam wanakimbia nchi yao ya Ki-Taleban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…