Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwa vituo vya afya sijui ila kwa vyumba vya madarasa ni vyumba 22 kutokana na mwongozo wa TAMISEMI kila chumba kinapaswa kujengwa kwa 20MMil 450 si ni vituo vya afya vingapi? Atalitumia kwa miaka mingapi? maana tayar anakaribia kugonga karne
Mwambie Ndugai wale covid 19 pale mjengoni kwa mwezi wanakomba milioni 230 hela za walipa kodi isivyo halali acha kupigia kelele kagari ka milioni 50Ni wajinga sana hawa jamaa ndio maana Magufuli alikuwa anawadharau sana!
.
Zingejenga shule huyo mzee ashafika saa moja jion kwake halina thamani,angempatia zawadi ya Quran tukufu ndo sahihi450 Millions Tsh.
Unakuta kuna watoto bado wanaka chini kulikua kuna ULAZIMA Wa kufanya hivo?Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?
Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Una mawazo ya kimasikini na kifukaraMimi namuunga mkono MAMA Lakini Hii kumpa Mwinyi Banzi ya kifahari sio sawa. Angeweza kumpa gari ya kawaida kama toyota. Hii nchi bado ni maskini sana na kuna watu wengi wanaishi maisha ya shida sana!!
Hata hizo nchi ambazo wanatusaidia kwenye bajeti yetu awawapi viongozi wao magari ya kifahari!!
Mama hakuse.a ni la mil 450 ni uzushi mleta mada kaamua tu kuzusha afurahishe nafsi yake. Kwa kawaida rais mstaafu hununuliwa gari na serikalo (ki mazoea ni pale ulazima unapojitokeza) na hii gari ni miongoni mwa zile serikali ilipewa zawadi, hivyo hakuna jipya hapo.450 m hii Ela Ni kiinua mgongo Cha watumishi wangapi wa umma, [emoji30][emoji30][emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yetu ni maskini sana bila kupindisha maneno.Una mawazo ya kimasikini na kifukara
Watu wegine sijui vipi sehem zingine hawana hata ambulance toka Uhuru alafu mnapongeza unafiki hapoInachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Sijajua utaratibu wa marekani upo vipi.lakini kwa hapa kwetu marais wastaafu wanajengewa nyumba hata Nyerere alijengewa kule butiama .kitu ambacho sioni kama kuna ubaya
Hahahaa!Samia amekuwa mkombozi wa upinzani kwa maana hii.
Kumbe suala haikuwa CCM ila ni mtu.
Nimehitimisha kuwa hata nyumbu wana akili kushinda hawa jamaa zetu aisee!Ni wajinga sana hawa jamaa ndio maana Magufuli alikuwa anawadharau sana!
.