Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Mil 450 si ni vituo vya afya vingapi? Atalitumia kwa miaka mingapi? maana tayar anakaribia kugonga karne
Kwa vituo vya afya sijui ila kwa vyumba vya madarasa ni vyumba 22 kutokana na mwongozo wa TAMISEMI kila chumba kinapaswa kujengwa kwa 20M
 
Mama kajiskia kutoa zawadi basi hatuna budi kumpongeza,hongera sana Mama.
 
Jana tu mahali hapo hapo aliwaambia wazee kuwa hawezi kuwalipa pension kila mwezi hali ya uchumi siyo nzuri.

Leo anampa mtu mwenye kila kitu gari la bei mbaya.

Sawa tu lakini ila hili halipo sawa
 
Ni wajinga sana hawa jamaa ndio maana Magufuli alikuwa anawadharau sana!
.
Mwambie Ndugai wale covid 19 pale mjengoni kwa mwezi wanakomba milioni 230 hela za walipa kodi isivyo halali acha kupigia kelele kagari ka milioni 50
 
Mimi namuunga mkono MAMA Lakini Hii kumpa Mwinyi Banzi ya kifahari sio sawa. Angeweza kumpa gari ya kawaida kama toyota. Hii nchi bado ni maskini sana na kuna watu wengi wanaishi maisha ya shida sana!!
Hata hizo nchi ambazo wanatusaidia kwenye bajeti yetu awawapi viongozi wao magari ya kifahari!!
 
Ameshaanza na yeye kulewa madaraka. Kuna ulazima gani wa kumnunulia mzee mstaafu gari la mamilioni yote hayo ya shilingi na huku kuna changamoto lukuki kwa Watanzania maskini?

Yaani milioni 450 kirahisi tu!! Kuna ulazima wa kuiondoa ccm madarakani. Haya mambo ya kuchezea kodi zetu miaka nenda, yanachosha.
Unakuta kuna watoto bado wanaka chini kulikua kuna ULAZIMA Wa kufanya hivo?
 
Mimi namuunga mkono MAMA Lakini Hii kumpa Mwinyi Banzi ya kifahari sio sawa. Angeweza kumpa gari ya kawaida kama toyota. Hii nchi bado ni maskini sana na kuna watu wengi wanaishi maisha ya shida sana!!
Hata hizo nchi ambazo wanatusaidia kwenye bajeti yetu awawapi viongozi wao magari ya kifahari!!
Una mawazo ya kimasikini na kifukara
 
Nimesoma Boris Johnson ame renovate Downing Street Flat na wallpaper ya £840. Wamemkali kooni pesa kutoa wapi na wengine wamesema ajiuzulu!! Hii ni nchi ambayo inatusaidia kwenye bajeti yetu!
Hii ikifanywa na kiongozi yoyote wa Europe wiki inayofuatia atakuwa ana kazi!!
 
450 m hii Ela Ni kiinua mgongo Cha watumishi wangapi wa umma, [emoji30][emoji30][emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama hakuse.a ni la mil 450 ni uzushi mleta mada kaamua tu kuzusha afurahishe nafsi yake. Kwa kawaida rais mstaafu hununuliwa gari na serikalo (ki mazoea ni pale ulazima unapojitokeza) na hii gari ni miongoni mwa zile serikali ilipewa zawadi, hivyo hakuna jipya hapo.
 
Una mawazo ya kimasikini na kifukara
Nchi yetu ni maskini sana bila kupindisha maneno.
Watu hawana maji.
Clinics hazina vifaa vya kutosha.
Baadhi ya mashule hali ni yakutisha.
Baadhi bara bara hazipitiki!
Miundo mbinu hapa Dar sio mizuru.
List ni ndefu halafu unasema nina mawazo ya kimaskini!
Kwa nini wengine waishi maisha ya kifahari kwa kodi zetu wakati wengine maji kwetu ni shida!
 
Inachezewa sana kivipi we jamaa.. Mbona unakuwa na roho ya kimaskini sana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zawadi ya Ml 450 kwa mtu alie simamia ustawi wa taifa letu.. tena ukiangalia hata kwenye baadhi ya sarafu kuna sura yake hiyo tsh ml 450 bado ni ndogo sana Ndugu yangu
Watu wegine sijui vipi sehem zingine hawana hata ambulance toka Uhuru alafu mnapongeza unafiki hapo
 
Sijajua utaratibu wa marekani upo vipi.lakini kwa hapa kwetu marais wastaafu wanajengewa nyumba hata Nyerere alijengewa kule butiama .kitu ambacho sioni kama kuna ubaya

Actually nimekosea.

Utanisamehe kwa usumbufu.

US maraisi wastaafu wanalipwa mshahara sawa na mawaziri, wanapewa ulinzi wa serikali, wanatibiwa ktk hospitali za jeshi, na wanapewa watumishi wa ofisi zao wanaolipwa na serikali.

Maraisi wastaafu wa US hawajengewi majumba ya kifahari miaka 20+ tangu watoke madarakani.
 
Samia amekuwa mkombozi wa upinzani kwa maana hii.

Kumbe suala haikuwa CCM ila ni mtu.
Hahahaa!

Hao watu hawajielewi!

Magufuli kawatoa akili kabisa.

Sasa hivi kila kitu wao wanakiona ni MATAGA tu.

Hata ukiandika kitu cha kawaida tu kuhusu Samia, wao wanaona umeandika MATAGA.

Kwa akili zao hizo, hata nyumbu wana afadhali!
 
Back
Top Bottom