Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Si rais tu, viongozi wote waandamizi wanapeana maghorofa wakistaafu sasa hivi. Huu ni utaratibu waliojiwekea lakini sisi wapiga kura hatuambiwi.
Marais, Makamu Rais na Mawaziri wakuu wastaafu wanachagua magari mapya kila baada ya miaka mitano If I am not mistaken na service wanafanyiwa bure. Na nyumba wanapewa, mpaka mpishi na mtunza bustani wanapewa.

Ni sehemu ya package kustaafu ya viongozi wa kitaifa wastaafu.

Sasa hapa wamefanya kutangaza tu, lakini hawa viongozi wastaafu wote wanachagua magari na wananunuliwa na serikali tangu wanastaafu.
 
Mzee Mwinyi aache kunesa nesa kwenye shock absorber za V8 kwa raha zake, akaingie kwenye gari ambalo diff linagonga mabonde.

Matumizi mabaya tu ya hela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marais, Makamu Rais na Mawaziri wakuu wastaafu wanachagua magari mapya kila baada ya miaka mitano If I am not mistaken, na service wanafanyiwa bure. Na nyumba wanapewa, mpaka mpishi na mtunza bustani wanapewa.

Ninsehemu ya package ya viongozi wa kitaifa wastaafu.

Sasa hapa wamefanya kutangaza tu, lakini hawa viongozi wastaafu wote wanachagua magari na wananunuliwa na serikali tangu wanastaafu.
Jamani jamani hadi inaumiza moyo kwa kweli aaaah.
 
Bado like hekalu alilo jengewa na serikali , na lile no kwa mujibu wa Katina ya nchi kwamba ukistaagu tu u Rais unajengewa nyumba, Sasa hapo nachoka kabisa kwamba u Rais n kazi Kama kazi zingine na yenye mshahara wa juu kabisa lakini eti mtu unajengewa na nyumba
Hivi alipokuwa Rais hakupewa nyumba??

Kwa nini wasiifanyie renovation nyumba ile ile alopewa na serikali akiwa Rais mtaa wa Laibon, Oysterbay?

Halafu hilo gari anapewa ni lake alitunze mwenyewe? Maintanace juu yake na mafuta juu yake na bima juu yake na dereva juu yake?

Au ni li mzigo tumebebeshwa sisi na kodi zetu?

Kuna sheria ya mafao ya Rais wastaafu, inaainisha kila kitu anachotakiwa kupata. Sheria ipo for a reason. Kwa nini Rais anatemea mate sheria?
 
Sababu aliyotoa Mama mbona inaeleweka, Mzee wa miaka 96 kupanda v8 ni shida kwake, lipo juu sana. Wengine hapa mna 50 tu kupanda v8 mnahema na makvant yenu mnayokunywa. Jana mmeona mzee hata hotuba kasomewa na mwanae, nguvu zimemuisha, and kuna dhambi gani tajiri kupewa zawadi? Hivi kuna mtu poa na humble kama Mwinyi? Aisee ndiyo maana Jiwe aliwaminya kwenye mitandao, sababu ndio hii, mnachonga sana. BTW Jiwe alipotoa Tausi kwa Uhuru na marais wastaafu mbona mliufyata? Or alipowajengea mahekalu marais mbona mliufyata? Baadhi ya wabongo pambavu sana
Mwinyi.jpg
 
Kutokana na yaliyo andikwa kwenye Kitabu chake Mzee Mwinhi, inaomekana katika Marais walio pata taabu sana ktk uongozi kuanzia alipo teuliwa kuwa waziri basi ni Huyu Mzee wetu Mwinyi.

Pamoja na kuwa mwadilifu na mtiifu lkn bado alichukiwa sana na alifanyiwa fitina za hali ya juu mpaka akajiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani lkn badae alirudishwa tena ulingoni lkn bado alipigwa fitina na kubabaishwa kuwa eti ni mdini anapendelea waislamu n.k, ama hakika walimyumbisha sana lkn kutokana na uadilifu wake na ucha Mungu alibakia kuwa Imara na Hatimaye Mungu alimsaidia.

Hakika kuna mafunzo mengi sana ya kujifunza ktk kipindi cha utawala wake.

tujirekebishe kwa wale wote wenye chuki binafsi na uchu wa vyeo, tuache tabia za kuiguruga nchi yetu, tuwe wazalendo wa kweli.

tuache kutafuta vyeo kwa uchawi au kwa kuhadaa/unafiki kwani cheo/uongozi hutoka kwa Mungu.

Tusibaguane wala kuchukiana au kufanyiana fitina kisa ni mkristo au mwislamu, sisi sote walio na dini na wasio na dini tunaunganishwa na MAMA Tanzania.

tusibaguane kwa makabila au ukanda kwani sisi sote ni watanzania, hivyo yatupasa kudumisha Amani, Upendo na Utulivu kwa masilahi ya nchi yetu.
 
Kwani ukiwa kiongozi mstaafu ndo uwe unachukua fedha za wananchi kiholela? Ebooooooh
Haijatolewa kiholela ni utaratibu tu umewekwa na siyo wa kwanza huyo kupewa, washapewa sana waliopita vingine ukitajiwa humu unaweza kushangaa.
 
Haijatolewa kiholela ni utaratibu tu umewekwa na siyo wakwanza huyo kupewa washapewa sana waliopita vingine ukitajiwa humu unaweza kushangaa.
Nishangae kwa kipi? Hayo ma kasri, etc au? Mbna tushazoea wale tu cake za taifa, hakuna wa kuwazuia.
 
Marais, Makamu Rais na Mawaziri wakuu wastaafu wanachagua magari mapya kila baada ya miaka mitano If I am not mistaken, na service wanafanyiwa bure. Na nyumba wanapewa, mpaka mpishi na mtunza bustani wanapewa.

Ni sehemu ya package kustqqfu ya viongozi wa kitaifa wastaafu.

Sasa hapa wamefanya kutangaza tu, lakini hawa viongozi wastaafu wote wanachagua magari na wananunuliwa na serikali tangu wanastaafu.
Sikufahamu hili, asante.
 
Naona wanasema hayo mabenz 20 tulipewa na mfalme wa Morocco Kama zawadi kuipigania Morocco irudishweAU. Lakini mwendazake akajibinafshia
 
Kwahiyo mlitaka ajinunulie halafu ajizawadie mwenyewe? Nini maana ya zawadi? Hivi angezawadiwa cake ya kufikisha miaka 96 pale ukumbini mngepiga kelele?
Nyie ndiyo wale wanyama niliye sikia huenda kuzalia Kenya na kurudi Tanzania, Mwinyi ana watoto tena wengine Marais walishindwa kumzawadia Gari Kama tunaambiwa kashindwa kupanda V8 lake? Lakini wazee wangapi wapo vijijini hawana hata punda wa kumpanda ili waende tu hata msikitini ama kanisani? We unaye unga mkono hilo jaribu kuwaza Mara nyingi he ni sawa, Vipi kuhusu mama Maria Nyerere mbona yeye hata hakumbukwi kwa lolote? Hivi kweli tumefikia hapa, Tena mtu anaongea kabisa kashindwa kupanda V8, aiesee
 
Kwani yeye mwinyi hana hiyo hela ya kununua Benz? Au hajui km anatakiwa kununua Benz imrahisishie ufasiri? Mambo mengine yanakera sana.
Magufuli aliwapa nyumba hiyo nayo mnasemaje

Ova
 
Back
Top Bottom