Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kununua umeme Tena? Bwawa la mwalimu Nyerere halitoshi? Hapa lazima wajanja wanatengeneza namna ya kufuja fedha ya uma.
 
Kwanini ununue umeme kutoka nje, wakati, tayari tunazalisha wa kutosha pale bwawa LA nyerere, au, ni porojo tu!
 
Kitu ambacho Samia angewaambia watu wa Kaskazini waone ni point ni suala la kujenga barabara na sio hizi hadithi za kuudhi.
 
Nimependa analysis yako
Umeongea vizuri na Kwa data

I wish vijana wengi wa ccm wangekuwa wanajibu hoja kama hivi
Kama issue ni miundombinu, kwanini Hangaya anadhani kununua umeme kutoka nje ndiyo solution ya umeme kukatikakatika? Huo umeme wa nje utasafirishwa kwa Dreamliner mpaka KIA na kisha kusambazwa kwa bodaboda?
 
Makaa ya Mawe wamepewa wachina kuwekeza kwa Dollars 200.
Daah wangewapa hata Chuo chochote wangefanya kitu kuliko kugawa au kuyauza maana makaa ya mawe yanaweza kuzalisha mafuta ya Diesel pis kwa gharama ndogo sana sema technology hiyo wa karibu wanayo Wachina na SA.
 
Sio tuu Nje Bali ni Ethiopia,Sasa sijajua kama Ndio masharti ya wakopeshaji hela au vipi
View attachment 3264601View attachment 3264602
Kwani kuna mkoa au kanda yenye umeme wa uhakika?
Nilikuwa morogoro mwezi wote wa pili na hakuna siku umeme haukukatika. Hata sasa 8.52pm nimeambiwa umekatika.
Nashauri morogoro wanunuliwe umeme kutoka zanzibar maana umeme wao haukatikikatiki.
 
Miaka zaidi ya 60 madarakani lakini wameshindwa kutatua tatizo la umeme!

Shameful.
 
Kama issue ni miundombinu, kwanini Hangaya anadhani kununua umeme kutoka nje ndiyo solution ya umeme kukatikakatika? Huo umeme wa nje utasafirishwa kwa Dreamliner mpaka KIA na kisha kusambazwa kwa bodaboda?
Umeme kutoka ethiopia kuja Tz utasafirishwa buure kabisa kupitia satellite ya Elon musk. Kuupokea huo umeme mtatumia dish la azam
 
Kwani kuna mkoa au kanda yenye umeme wa uhakika?
Nilikuwa morogoro mwezi wote wa pili na hakuna siku umeme haukukatika. Hata sasa 8.52pm nimeambiwa umekatika.
Nashauri morogoro wanunuliwe umeme kutoka zanzibar maana umeme wao haukatikikatiki.
Sisi tunaotumia wa Zambia ni uhakika
 
Hivi ni kweli kayatamka hayo maneno au ni upotoshaji ulio zoeleka sasa humu JF?
Kama ni kweli kayatamuka, hivi ni kweli anaelewa maana yake ni nini?

Kama kalishwa tu hayo maneno bila ya kuelewa maelezo, kwa nini asitafute ufafanuzi zaidi mbadala kabla ya kukutapika tu kitu asicho kuwa na uwezo wa kukielewa?

Au tuseme ndio kisha hakikishiwa msaada wa kubaki madarakani na kikundi maalum kinacho nufaika na ujinga huu wanaolifanyia taifa letu.
Inaonyesha huyu anaendeshwa tu, hana lolote analojuwa juu ya jambo lolote.
 
Sasa ukweli wa umeme wa Gas unaenda kukaa wazi. Kwanini tununue umeme nje wakati tuna umeme wa maji, na Gas?
ChoiceVariable
 
Hivi ni kwann masuala kama haya wananchi huwa hatushirikishwi kabisa kwenye kutoa maoni na maamuzi pia na badala yake tunakuja kupewa taarifa mwishoni ambapo tayari watu wachache wapumbavu wameshakaa na kufanya maamuzi.

Hii katiba yetu kwakweli ni yakipumbavu sana.
 
Koh koh koh Magu is coughing kwa his grave. Ile Excess ya bwawa jipya iko wapi.
 
Ww hakika ni zero brain....kwaiyo hiyo back up unayoisemea itakua special kwa ukanda wa kaskazini tu, kanda ya kaskazini pekee ndio Tanzania?
 
Mkuu hivi unakielewa ulichokiandika kweli?...kwamba 33KV gharama ni nn?, ama hujamaanisha 33KV aise?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…