ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwani bwawa la Nyerere lote limeanza uzalishaji at once? Nusu tuu ya mashine zao ni bwawa Zima la Nyerere.Leta na Megawats wanazozalisha kwenye hilo Bwawa kwa sasa
Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa kama mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.Kuna kiongozi aliwahi kusema 2025 tutakuwa na umeme wa kutosha kutumia nchi nzima na tutauza hadi nje.
Tuna haja ya kuwatafakari au wenye akili tulishawatafakari miaka 30 iliyopita na kuona hawafai?Kuna haja ya kuwatafakari tuliowapa madaraka. Mpaka sasa Tz tuna umeme wa ziada tunafikiria kuwauzia majirani.
Sasa tunasaini mkataba kununua umeme. Hakikà Trump ni rais sahihi wa USA
Tukia akili, watachukua umeme toka Rufiji, kisha watasema ni umeme wa mtoto wa mama (Abdul) wa georthemal.., ili pesa alipwe yeyeWataalam waje watufafanulie hili. Mnakuwa na umeme ndani wa kutosha lakini mnanunua nje. Hivi Kenya wanazalisha umeme kwa njia gani mpaka tukanunue kwao. Ukisema nje kwa kanda ya Kaskazini hapo unazungumzia Kenyaz au kuja nchi nyingine jirani na huko?
Hata sisi pamoja na hayo tutawauzia Zambia very soon na mikataba ilishatiwa Saini kinachosubiriqa ni mradi ukamilike.Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa Kaba mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.
Bwawa la Nyerere hawajawasha turbines zote kwasababu hakuna upungufu wa umeme kwasasa.Kwani bwawa la Nyerere lote limeanza uzalishaji at once? Nusu tuu ya mashine zao ni bwawa Zima la Nyerere.
So wataanza na hizo,bwawa Lina uwezo wa Kuzalisha zaidi ya megawatt 5,000
Siyo ''kama tumefanywa''. Wananchi ni mazuzu yaliyoshindikana. Hakuna nchi ambayo wananchi wanaweza kuchezewa hivi kwa uongo na wakashangilia kama siyo mazuzu.Huu ni ubabaishaji tu. Mara tuna umeme mwingi na tutauza njema kwa majirani zetu. Sasa tutanunua umeme toka kwa majirani ili kukidhi mahitaji kwa miji iliyoko Kaskazini. Wananchi tumefanywa Kaba mazuzu vile wa kuambiwa mambo ambayo hayaingii akilini toka kwa hao wanene. Tumechoka kudanganywa na hadithi za uongo.
Tutauza Zambia na mradi wa kulinganisha grid unaendelea
Hata hivyo ieleweke kwamba kununua umeme Nje ni mojawapo ya njia ya kuwa na energy mix bila kujalisha kama mna umeme wa kutosha au hapana.Bwawa la Nyerere hawajawasha turbines zote kwasababu hakuna upungufu wa umeme kwasasa.
Ila zote zimekamilika