Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
267
Reaction score
373
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.

Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka

TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo knye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji
huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende )

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Unamfundisha Rais awe anajichukiza kama mwehu? Don't force a button,ndugu!Hatufokeani kama vitoto vijinga.
 
Siamin kama Tanzania ya Leo bado ina wajinga namna hii.

Watu sio kwamba wanalalamika hawataki uwekezaji , uwekezaji ni muhimu na chachu ya maendeleo.

Kuna hoja za wananchi, hoja nzito ,hoja zenye maana.

Ambazo akishazipangua Kwa Hoja, basi anapewa Baraka.

Wewe Mkataba gan kuanzia Makundi ya Siasa, Dini, Sheria, Raia Mmoja Mmoja, Tajiri mpaka mtoto, Wote hao ni wajinga wanawivu kwamba hawataki uwekezaji???.

Uchawa ukizidi, unaweza shikwa Kalio.
 
Nadhani hujanielewa ndugu, sijasema mkataba ni mzuri lakini kwa kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari mwendazake na ukali wake wote bado watu walimchezea sana alirudi rudi bandarini zaidi ya mara nne na waziri mkuu lakini wapi , ufanisi umeongezeka lakini bado sasa unadhani tufanyaje ?
 
Hivi toka 2021 june tumeambiwa tupo asilimia 98 mpaka leo bado asilimia 98? wakati wa mwendazake tuliona speed ya kiutendaji
Tuwe na utulivu.Kwani umekata tiketi ya kwenda mbinguni kwamba una haraka sana?Mambo kupasiana.Unaanza hapa na kuishia pale.Halafu,unampasia mwenzio aendeleze kabumbu.Kutaka kumaliza yote ni uchoyo na utakaji wa sifa tu.
 
Atafukuzaje watendaji wenye familia? Je familia zao watakula Nini? Alishakosea mwanzoni kuonesha huruma Kwa watendaji wabovu
 
Atafukuzaje watendaji wenye familia? Je familia zao watakula Nini? Alishakosea mwanzoni kuonesha huruma Kwa watendaji wabovu
Hivi,tukiamua tumuamuru Mwigulu akalime na kuishi kule kijijini kwa wazazi wake ataweza/atakubali kweli?Maana mimi aliponiamuru nihamie Burundi(Bhuja pomoni mpaka Bhujheee)ndiyo nimefika Buyenzi hapa.🤔
 
Nadhani hujanielewa ndugu, sijasema mkataba ni mzuri lakini kwa kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari mwendazake na ukali wake wote bado watu walimchezea sana alirudi rudi bandarini zaidi ya mara nne na waziri mkuu lakini wapi , ufanisi umeongezeka lakini bado sasa unadhani tufanyaje ?
Namm nasema, watu hawapingi Uwekezaji, kinachopingwa ni hoja zilizojitokeza baada ya watu kupitia Mkataba.

Nchi hii ipo kwenye Dunia iliyobadilika Sasa, Dunia ya Leo imejaa "Utaifa", kuanzia Kiongozi mpaka Raia wote wanazungumza Lugha Moja ya "Mimi Kwanza ,wengine baadae".

Na hili Sasa ndio ambalo Watanzania wa Leo ,wameamua kurara naro mbere mpaka kiereweke.

Na ninawaambia, Samia wenu huyu, acheni aenderee kupuuza Hekima na busara za waliohekimika, wakabusarika, wakaelimika kumzidi yeye Kwa mbali sana.... Wacha aenderee kuziba masikio !!.

Mjusi ili aelewe Huwa mpaka atokwe na Damu masikioni.
 
Ushoga na usagaji tena?Kama akina nani hao?Inashangaza ujue!?
Duh Mpwa umesahau Bunge hili hili Kuna Mbunge alisimama Bungeni na kudai kuwa Kuna wabunge wanaoshiriki hii michezo? Na Kuna Mbunge mwingine akasimama kuongeza na kumsapoti Yule Mbunge? Nadhani alikua Janet Masaburi, kitu kama hicho. Spika hakukanusha Wala kuwataka walete uthibitisho means tuhuma zile zipo kwenye Hansard
 
Hivi,tukiamua tumuamuru Mwigulu akalime na kuishi kule kijijini kwa wazazi wake ataweza/atakubali kweli?Maana mimi aliponiamuru nihamie Burundi(Bhuja pomoni mpaka Bhujheee)ndiyo nimefika Buyenzi hapa.[emoji848]
Kwasasa mwigulu ameshatengeneza mirija mingi. Ukikata wa uwaziri itamlisha mingine mingi.
 
Namm nasema, watu hawapingi Uwekezaji, kinachopingwa ni hoja zilizojitokeza baada ya watu kupitia Mkataba.

Nchi hii ipo kwenye Dunia iliyobadilika Sasa, Dunia ya Leo imejaa "Utaifa", kuanzia Kiongozi mpaka Raia wote wanazungumza Lugha Moja ya "Mimi Kwanza ,wengine baadae".

Na hili Sasa ndio ambalo Watanzania wa Leo ,wameamua kurara naro mbere mpaka kiereweke.

Na ninawaambia, Samia wenu huyu, acheni aenderee kupuuza Hekima na busara za waliohekimika, wakabusarika, wakaelimika kumzidi yeye Kwa mbali sana.... Wacha aenderee kuziba masikio !!.

Mjusi ili aelewe Huwa mpaka atokwe na Damu masikioni.
Mkuu,mbona unatoa laana tena?
 
Duh Mpwa umesahau Bunge hili hili Kuna Mbunge alisimama Bungeni na kudai kuwa Kuna wabunge wanaoshiriki hii michezo? Na Kuna Mbunge mwingine akasimama kuongeza na kumsapoti Yule Mbunge? Nadhani alikua Janet Masaburi, kitu kama hicho. Spika hakukanusha Wala kuwataka walete uthibitisho means tuhuma zile zipo kwenye Hansard
Kama ni hivyo,jengo la bunge na wabunge wake waoshwe kwa maji ya baraka.No way out!🙏😂😂😂😂
 
Kwasasa mwigulu ameshatengeneza mirija mingi. Ukikata wa uwaziri itamlisha mingine mingi.
Afilisiwe na arudishwe "bush" kwao kwa nguvu.Afungwe kifungo kama cha yule mnyamwezi Kasanga Tumbo.Unto custody!Ili akumbuke alipotoka na alipe tozo.How do you find it,fella?
 
Wewe unazani Yuko serious?

Wewe mwandalie hata vigodoro au ngoma ya baikoko atakuja msherehekee!
 
Back
Top Bottom