Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .
Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.
Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)
Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?
Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA