Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo inatokana na Sheria ya Tume za Uchunguzi mwaka 2023 sura ya 32
Hii ni baada ya watu wengi pamoja na vyama pinzani kuhoji uhuru na uaminifu wa Tume hiyo iliyoundwa na Serikali inayotuhumiwa na wananchi
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025