Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

Kwahio inaonyesha wazi kuwa unajua kuna uchafu mwingi umefanywa na unaendelea kufanywa ili wabunge wa upinzani wasiingie bungeni, ndio maana mataga akili zenu zinapenda kuburutwa tuu
Kumbe hujanielewa ,kelele zote wanazopiga hawa machedema wanaamini kuwa katiba mpya itawapa ubunge ,too low kwa kweli
 
Hawa wahuni wanamtisha rais?
Ndio ,afaddhali awathibiti mapema aisee kabla hawajamletea madhara ,majinga kabisa haya madude yakiongozwa na umbea Mzee Mbowe
 
Makato yapo kwa wote hayachagui CCM wala CHADEMA mpuuzi wewe
 
Kwani mambo hayo si aliondoka nayo magu?

Sasa hivi mama anaupiga mwingi, anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy
Hayo matakataka yote yanatokana na ubovu wa katiba hii iliyopo.
Katiba mpya ndio itakuwa dawa kamili ya kuziba hizo nyufaa zilizoibuka na kulijenga TAIFA letu
 

Wanasiasa wanakosa gani kudai jambo wanaliona ni haki yao? Mimi sio mwanasiasa na ninataka katiba mpya, au we kipimo cha mwananchi ni kipi?miaka 6 iliyopita tulijadili sana kuhusu katiba mpya na rasimu ya Warioba ipo, wakati huo elimu ilikuwa kubwa kuliko sasa?

Hilo la kudeal na wenye power unasema inatakiwa uwe smart, nimekupa mfano wa ACT, mbona hatuoni huo usmart wao ukileta tija? Kutumia nguvu ipo siku zote, ama hujui Aqwilina aliuwawa vipi? Isitoshe awamu iliyopita ilikuwa ya shetani, na tukampa Mungu jukumu la kudeal na shetani, nadhani unajua saa hii shetani yuko wapi. Jitahidi usiwe bendera fuata upepo Dada mpendwa.
 
Nani amebomoa uchumi wa Kati?
 
Maisha magumu yapo kwa wote
Hata yule aliepo ubelgini na Canada ,wale si wanalishwa?mbowe si anachangiwa na wanachadema ?sidhani kama hawa wana maisha magumu na ndio maana maisha yao yote ni kupinga pinga tu chochote hata kama hakina mantiki ,juzi nilimsikia huyu mpuuzi wenu akisema eti watanzania walazimishwe chanjo ya Corona
 
Katiba mpya ya kuwezesha chadema kushika madaraka ndio itaniletea pesa?
Hapo ndipo unapoweka wazi ujinga wako na Mwenyekiti wenu yaani mawazo yenu ya kijinga ya kuwa katiba mpya yatawaweka Chadema Madarakani...hivi asingekufa Mwendazake Mama yenu angekuwa wapi?
 
Kabisa maana walianza NAMUONYA RAIS, mara lissu anamchimba biti mara wanaanza kupanga maandamano
 
Ccm hakuna wakuwabembeleza, pia twende Sina mna polis , tuone Kama sonoma itawaacha salama, mmelikoroga mtalinywa, hakuna wa kuwabembeleza ,katiba mtaandika na inakuja hakuna wa kuzuia, na mwachieni Mbowe na wengine ,ni lazima na sio ombi,
Katiba ya wapi hii hii ya Tanzania au mnachezeshwa shere tuu.Uchaguzi 2025 utaendeshwa na katiba hii.
 
Hii kitu kinachoitwa Uhuru wa kujieleza wabongo, hasa uliowataja, hawajui kuutumia. Matusi, kejeli, nk ni kawaida yao. Mama, fuata Magu's Model.
 
Je tunatazamwa vipi na mataifa ya nje ambayo pengine hawatambui kama CHADEMA ni uchwara kama unavyodai ila wao wanatambua kama OPPOSITION PARTY? Je matukio haya hayana hasara hasa katika
suala la uwekezaji nchini?
 
Number 4 was good politician and a bad president,Number 5 was the opposite of number 4
Mkuu Hebu pata siku ukiwa free upitie comments za page BBC swahili kule FB!!
 
Hatuwezi kukubali hawa vichaa wachache wa Chadema watuletee matatizo. Mama kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…