RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Iling'ara kipindi cha Magufuli, mtu ambae aliuunga mkono mauwaji nakuzima maandamano ya Ukuta kipindi cha Magufuli, hana uhalali wakukemea anayofanya Samia. Maana niyaleyale hasa katika ukandamizaji.Sasa hivi Tanzania katika viwango vya kimataifa inang’ara?
Kasema hivyo na wamempigia makofi!
Kama inang’ara hivyo mbona hakwenda Marekani kwenye UNGA?
Kama kweli inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone 🤣.
Yes,
Huo "uhuru wa mawazo" yako haufichiki ni kiasi gani ulivyo vurugika wakati huu. Hii ni ishara nzuri kwa nchi yetu.Una uhuru wa mawazo yako. Huna uhuru wa ya wenzako.
Herode wa bibilia yuleNi muuaji full stop.
Una nchi wewe?Huo "uhuru wa mawazo" yako haufichiki ni kiasi gani ulivyo vurugika wakati huu. Hii ni ishara nzuri kwa nchi yetu.
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Mama Samia kauwa njia za mkato za bandarini, lazima nyoyo ziwaume na vijiba vya rohi viwakabe.Ni muuaji full stop.
😂😂ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Tulia wewe nyie wote ni wauajiMama Samia kauwa njia za mkato za bandarini, lazima nyoyo ziwaume na vijiba vya rohi viwakabe.
.Siku hizi siwaoni hata wale vijana mnaowaleta kutoma bara huko,bwaliojazana eti wanouza kwa "polomosheni".
Imeuliwa?
Mafwele pambania ugali baba🐍Na hicho ndicho tunachokifanya mimi pamoja na hao wangwana wazalendo muhimu sana kwa Taifa uliowatag. ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa
Kazi yetu kwa niaba ya chama na wananchi ni kujibu hoja na kueleza kinagaubaga mama huyu kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake sikivu ya CCM wanafanya nini kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Hata siku moja huwezi kuta mimi au hata hao wangwana tunampongeza Rais bila kwanza kueleza kinagaubaga alichofanya kwaajili ya manufaa ya hawa waTanzania..
Kwa mfano,
Hembu angalia uzalendo, nia na dhamira njema ya mama huyu kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan, leo alipaswa kuhutubia Baraza kuu la umoja wa Mataifa huko new York marikani, akaamua kung'ang'ana tu na kuwaletea maendeleo waTanzania wa Ruvuma na Songea.
Kweli tuache kumpongeza Rais kwa hilo mpendwa mtumishi Lamomy na hata haijulikani umekurupukia kutoka wapi maana ni kitambo hauko jukwaani?, real?🐒
Kuwa rais wa JMT ndio kunamfanya asiwe muuaji? Ni muuaji fullstop.
Mdogo wangu Lamomy ,Mimi huwa najibu hoja mpaka wapinzani wanatetemeka na kububujikwa na machozi Utafikiri wamepigwa na bomu la machozi ndani.Tlaatlaah Lucas Mwashambwa ChoiceVariable mmesikia ujumbe wenu, mama anataka mjibu hoja sio kumsifia..
Huyu anawaita sisiminzi,Nakumbuka story ya nchi fulani wakitaka kuua adui zao wanasema "kill that cockroach".
Hii iliwafanya wauaji waone binadamu wenzao kama mende tu
Mh rais anawateua watu ambao wala hata hawana habari ya kumsaidia zaidi ya kujiimarisha wao wenyewe na kula kwa urefu wa kamba bila kufanya kazi, mwisho wa siku mama anajikuta yupo peke yake anapambanaRais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Haa 🤔🤔🤔haa haaa...Msihangaike sana maana shida ilianzia hapa
sawa atufigwegwe ndrugu yangu 🐒Mafwele pambania ugali baba🐍
Pole sana Rais wangu.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.