-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Rubbish ni bora akae tu kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma uelewe.Alimuuwa baba'ko au mama'ko?
Hutokuja kuiona hiyo, umesikia hata wakitoa mrejesho! wangapi wamekamatwa kusaidia uchunguzi? {unakumbuka alipotekwa Mo walivyokuwa wanatoa mrejesho}Tunataka report ya kifo cha Meddy kibao.
low IQ ni shidaMadhara ya kurithisha madaraka mtu mwenye upeo mdogo ndiyo haya sasa.yeye ndiyo amri jeshi mkuu,chochote kitakachofanyika mhusika ni yeye na kama halijui Hilo Bora ajiuzulu maana inaonesha hajui majukumu yake.yeye anataka awe anasifiwa tu lakini akikosolewa anachukia
We msimamo mkali embu acha kutetea mauaji... Hao watu wasiojulikana wanajulikana na wanapewa vyeo usijidai mwehu kamavile huelewielewi!!Huko ndio kuishiwa kwenyewe. Uliweza kufunguwa domo lako wakati wake?
Au ulikuwa gizani?
Naunga mkono hoja, mtu mwenye wajihi kama huu, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi hata kuua panya!, kama ni kuua labda mbu, mende na sisimizi.
Ila kwa vile yuko serikalini na yeye ndie mkuu wa serikali, na anajua kuna mazingira fulani, serikali zote duniani huwa zina waua watu hatarishi kwa usalama wa nchi, dissidents, na kabla hawa dissidents hawajauliwa lazima CinC asaini ile death warrant, then death warrant yoyote ikisainiwa, aliyeua ni aliyesaini death warrant na sio wale watekelezaji.
Ikitokea makosa ya watu wake kumuua kwa makosa mtu safi kwa kudhaniwa ni dissident, then the blood of that person is upon aliyetoa hiyo order kwa niaba yake.
Na kunapotokea vifo ambavyo vingezuilika kwa kufanya kitu lakini hakikufanyika, then damu iliyomwagika is upon yule ambaye angezuia lakini hakuzuia.
Hivyo tumeshauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!
P
Huyo shost wako ni muuaji tu usimtetee kwa vile ni mvaa ushungi mwenzakoHuko ndio kuishiwa kwenyewe. Uliweza kufunguwa domo lako wakati wake?
Au ulikuwa gizani?
Wewe nawe ni hueldweki tu.Mungu wa Mbinguni azidi kukubariki mh Rais Samia 🌹
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Unaongelea hoja ipi?Yuko sahihi kuhusu hoja yake hiyo
Alikuulia baba'ko au mama'ko?Huyo shost wako ni muuaji tu usimtetee kwa vile ni mvaa ushungi mwenzako
Hee maruani yamenaniliuu😁😁😁Alikuulia baba'ko au mama'ko?
Koma.Hee maruani yamenaniliuu😁😁😁
Relax baby
Anabugia sana Kitimoto huyoWe msimamo mkali embu acha kutetea mauaji... Hao watu wasiojulikana wanajulikana na wanapewa vyeo usijidai mwehu kamavile huelewielewi!!
Mungu huona vya ndani kabisa rohoni,kama unamwabudu katika kweli tubu tuu LAKINI kama unazugazuga tuu basi zuga uje hapa Torokauje bar tupige kitimoto na konyagi afu twende pale Kajificheni gestihausi tukapige pushapu😘
Alimuua yule kibenten wako anayekutoa mimajiAlikuulia baba'ko au mama'ko?
Ukimya means waliofanya ni "WATU WASIOJULIKANA".Hutokuja kuiona hiyo, umesikia hata wakitoa mrejesho! wangapi wamekamatwa kusaidia uchunvuzi? {unakumbuka alipotekwa Mo walivyokuwa wanatoa mrejesho}
sasa kwa kisa hiki ilitakiwa mrejesho na mikwala ya police iwe vile , ukimya huu jiongeze ndio imepita hiyo. Nilitegemea huyu mama kuwa kazi itakamilika soon na lipoti itawekwa wazi, ila kamfananisha alieuawa na sisiminzi. Yaani yeye kaua sisiminzi asisakamwe... mwee
Mwagito ndauleMungu wa Mbinguni azidi kukubariki mh Rais Samia 🌹
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Ndahihi 😃Mwagito ndaule