Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

Mwaka jana pesa ineongezwa lakini leo hakuna mfanyakazi anayekumbuka, wote wanataka iongezwe tena..

Hiyo ndio kusema kazi iliyofanyika mwaka jana haina maana.
Vipi gharama ya maisha ya mwaka jana na mwaka huu ziko sawa?
 
Kwani wao timu za mpira wachezaji, viongozi + mashabiki wao ,wako wangapi na walikuwa wanapewa m.5 kwa kila goli? Hata wakinunua maji inatosha.

Japo nilichoomanisha hapo ni nyongeza na posho kwa wafanyakazi
Jibu swali
 
Natamani sana mishara ipunguzwe kwa makundi yafuatayo;

1. Wabunge.
2. Mawaziri
3. Majaji
4. Wakurugenzi watendaji

Haya ndio makundi yanayo lipwa vizuri zaidi, pamoja na mshahara mzuri lkn bado wanapewa nyumba, gari na ulinzi juu.

Wakurugenzi watendaji” hapa umeweka jumla sana. Ila kama wale wa halmshauri, manispaa na jiji wanalipwa hela ndogo sana. Inabidi waongezwe hata mara 2 ya wanachokipata sasa.
 
Nafikiri ni Tanzania tu Chama cha Wafanyakazi kinampigia magoti Rais na kuomba nyongeza.

Kwa wenzetu chama kina demand nyongeza na serikali inasikiliza. Nyongeza serikali inakata Meza moja na vyama vya wafanyakazi kukubali ana ni kiasi gani wanakubaliana. Ila Bongo wanastukizwa na kupewa mbuzi kwenye gunia... Kama last year.
 
Mama kasema mambo ni moto na mambo ni faya kwa wafanyakazi. Mishahara ya nyongeza kila mwaka kwa wafanyakazi itarudishwa kama zamani, sheria za kazi na kanuni litaafanyiwa kazi na kuna chombo mahususi cha serikari cha kusimamia afya na usalama wawa wafanyakazi mahali pa kazi.

"Lakin yote hayo hatutasema hadharan ni kwa kias gan marupurupu haya tumeyaongeza maana wakisikia huko mtaani watongeza bei za bidhaa"

"Walimu pia tumewasikia na swala malipo ya ziada baada ya muda wa kazi tunalifanyia kazi, walimu na madaktari ni chama kubwa" walimu oyeee!

"mwisho kabisa tufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma" ahsanten sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…