Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

Mwaka jana pesa ineongezwa lakini leo hakuna mfanyakazi anayekumbuka, wote wanataka iongezwe tena..

Hiyo ndio kusema kazi iliyofanyika mwaka jana haina maana.
Walikuambia wameongezwa,na kama waliongezwa unajua kiasi kilichoongezwa
 
Hiyo logic Huwa sidhani kama it makes sense.

Kwamba nitaongeza Asilimia 10 mfano Itaongeza vipi gharama za maisha?

Hii ni fix nyingine
 
Wafanyabiashara uchwara wameshajua kumbe mishahara imeongezwa ! Watapandisha bei !!
 

Yaap nyingine wanaitisha mgomo kwenda kazini.
 
Mishahara ya wafanyakazi itapandishwa kwa kimya kimya Ili kuepuka Upandaji wa bei za bidhaa endapo itatangazwa hadharani

Rais Samia amesema Mambo ni Moto mambo ni fire!

Source ITV
Sanaa tu hakuna kitu.
 
Angalau,
Package ipo kwenye yafuatayo:
1. Kupandisha madaraja
2.Kulipa madenini
3. Annual increment
.................................................................
" UADILIFU NA UELEDI"
.........................................................
Chombo cha kitaifa cha Afya na usalama mahali pa kazi
..........................tija, tija...
 
Serikali haina pesa wawe wawazi
 
Asilimia 23% Kwa kima Cha chini.

Wenye mishahara mikubwa ni pamoja na wakuu wa vitengo. Wanapata maposho na marupurupu.

Mwalimu anapata marupurupi yapi kwa mwezi?

Bado Kuna kidanganyana Kwa kiwango cha lami.

Wenye posho na overtime sio kada ya kati.

Ielewelewe tu mtaani mtumishi ana maisha magumu asipofanya biashara ndogodogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…