Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

Kuna shida nyingi tu Kuna watumishi mpaka Leo hawajapewa pesa yanauli ya likizo ya 2021/2022 mfano KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU NA HALMASHAULI NYINGI TU..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sipati picha wafanyakazi na zile tisheti zao walivyotoa macho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hufanyi kazi Mkuu? Unawezaje kujiondoa kwenye kundi la wafanyakazi ikiwa wewe ni mtu mzima?
 
Bidhaa zimekuwa zikipanda miaka saba mfululizo na wakati huo hakuna mishahara iliyokuwa imetangazwa kuongezeka, Watawala ni vema wakawa straight kwenye baadhi ya mambo katika kutolea majibu
 
Bidhaa zimekuwa zikipanda miaka saba mfululizo na wakati huo hakuna mishahara iliyokuwa imetangazwa kuongezeka, Watawala ni vema wakawa straight kwenye baadhi ya mambo katika kutolea majibu
Kinachoumiza zaid ni pale wakusaidia jambo nae anaogopa, yaani tuwaogope hawa wapandisha bidhaa bei tutafute njia ya ku deal nao.
 
Mishahara ya wafanyakazi itapandishwa kwa kimya kimya Ili kuepuka Upandaji wa bei za bidhaa endapo itatangazwa hadharani

Rais Samia amesema Mambo ni Moto mambo ni fire!

Source ITV
KUPANDA kwa VITU sio sababu ya KUONGEZA MISHAHARA mbona Mishahara haijaongezwa lakini kila kukicha VITU BEI ZIPO JUU?
 
KUPANDA KWA VITU HAKUNA UHUSIANO NA KUPANDA KWA MISHAHARA mbona Vitu vimepanda na Mishahara haijaongezwa?
 
Mishahara ya wafanyakazi itapandishwa kwa kimya kimya Ili kuepuka Upandaji wa bei za bidhaa endapo itatangazwa hadharani

Rais Samia amesema Mambo ni Moto mambo ni fire!

Source ITV
Haya mambo ya siri siri bwana.ipo kazi ya kudai mambo yaliyoahidiwa kuwa ni siri
 
Mbali mambo mazuri kiasi yaliyoathiriwa kutekelezwa na mh Raisi kwa watumishi wetu watu wa ovyo ni Tucta wameshindwa kabisa kumshawishi Rais kuhusu kikokotoo ambazo kimepora mafao ya wazee wetu.Tucta mtachangia kuwaua wastaafu wetu kwa stress

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…