wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Huyu ndie rais anaepaswa kuongoza kwa miaka kadhaa Mungu akijalia mpk atakapochoka, sio yule muliokuwa munampigia debe yule wa tembeeni viua mbereeeee sisi ni matajiriiii huku watu wanalia njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kuleeeeeeeNaona mama naye ni mama wa ruksaa
😂😂😂🤣🤣🤣 Ulikuwa wapi Mataga mbobeziHuyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Aha haaaHuyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Hii inchi iliharibiwa na Magu angalau mama anairudisha kwenye reli, sasa mafisadi kama nyie hakuna namna tenaHuyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Wanaanzia wapi kumfanyia mama hujuma, mama ni msafi hana mawaa.Vifunguliwe na wafuate taratibu
Habari na taarifa ni muhimu sana kwa jamii
Wakianza kuandika tena habari za uchochezi na kuhamasisha hujuma kwa nchi yetu washughulikiwe ipasavyo
Tumia browser...Bila vipieni huwezi kutumia
Mnateseka sana MATAGA. Jinyonge umfuate jiwe.Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Sana [emoji23][emoji23]Habari mbaya kwa mataga hii
10zaidi kwa mama
Tutamlazimisha tuAisee tutamlazimisha Samia atawale miaka 20. Atake asitake tutamlazimisha.
Huyu mama tangu siku ya kwanza nilijua tu atakuja kuiharibu nchi.
Hallelujah!!Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema haya...
Wizara ya habari, mnapaswa kusimamia vyombo vya habari, nasikia kuna vyombo vya habari mmevifungia, vifungulieni lakini vifuate sheria na kanuni. Tusiwape mdomo mdomo wa kusema tunabinya uhuru wa habari na nataka kanuni ziwe wazi. Tusifungie tu kibabe