Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Wewe ni mpinzani, ni watu ambao mngependa CCM ianguke ili 2025 iwe rahisi kwenu. Nakuapia Samia akiendelea kumpinga JPM ujue CCM ndiyo mwisho wake. Afadhali tangu jana Bungeni wametoka usingizini. Piga ua JPM ni wa pili kwa taifa hili wakwanza akiwa Mwalimu. JPM ni kete ya kisiasa. Ingawa ulivyo mpuuzi utapinga
 
Poleni sana,
Nyie si ndio waimba mapambio mliokuwa mmejipangia na kuweka matumaini yenu kwa Jiwe kutawala milele.
Mmeshaanza kujenga mnara wa Babeli tena? Mungu aliyeiokoa Tanzania yu hai.
 
Nyie tulieni PM awanyoe vipara, mlidhani kuwa JPM kafa basi enzi za business as usual zimerudi, hapana, Majaliwa ni kiongozi bora sana kamwe hawezi kutolewa hapo alipo mtaumia bure

Go PM.
 

Ile miradi ilikuwa ni kwa mitazamo ya Magufuli, na Rais huyu anaweza kufanya atakavyo.
 

Huo mkakati wa kumkwamisha ukoje? Si uweke hapa? Mnapata nini kuona watu wanafukuzwa kazi? madaraka?
Muacheni Rais aamue jinsi aonavyo inafaa. Haya mambo yenu ya kutafutiana kazi kwa lazima hayana nafasi kwenye zama hizi. walifanikiwa wachache enzi za mwalimu
 
Inaonekana kuna walafi wanautamani uwaziri mkuu, kama kawaida yetu wanasiasa wa kibongo kwa kutafuta vyeo ni hatari!
 
Kipi kimekwama ambacho umekiona baraza hilo halijafanya?
Au ni ndoto za kichawi unaota?
 
Ni kweli maana akina Majaliwa wanaimba ndege na pambio za Magu yeye anaimba wimbo wa Tzn ya kuwajaza watu pesa wakati uchazi wa step ni tofauti kabisa.

Fukuza huyo pm weka wako mbona JL alimtimua EL na mambo yakaenda sawa tuu?

Pili shika uenyekiti wa chama ndio umtimue
 
Ile miradi ilikuwa ni kwa mitazamo ya Magufuli, na rais huyu anaweza kufanya atakavyo.
Kama ni hivyo, basi mwacheni Samia afanye atakavyo wala sio kumwelekeza afanye mtakavyo.
 
Kama "vision" ni nzuri na ina maslahi makubwa kwa Taifa, kwa nini isifuatwe? Lazima ifuatwe hakuna namna.

Rest in power JPM aka The Master of Infrastructures aka Mwamba wa Afrika.
 
Ukisikia kiherehere ndio hichi, unasema magufui alifeli kwenye viwanda kivipi wakati alikuwa bado na miaka mitano mbele ofisini.

Unataka raisi Samia aje na maonoyake gani wakati tayari wana mipango iliyopangwa pamoja wakati wanaomba ridhaa ya kuongoza kwa wananchi??,

Maono tayari yapo kwenye kurasa za ilani walizokuwa wanatembea nazo kuomba kura.

Watanzania waliwaparidhaa ya kuongoza nchi kutokana na ahadi zao walizo toa, na nimiezi michache tu imepita tangu tumalize uchaguzi hatuja sahau walicho ahidi, sasa wewe sijui unataka abadilishe nini.
 
Wale wale kina Bashiru?
 
Magufuli ameacha mbegu mbaya sana kwamba hakosolewi na nyie mmejazwa upuuzi huo, atapingwa tu mpende msipende.
 
Nyie tulieni PM awanyoe vipara,mlidhani kuwa JPM katika basi enzi za business as usual zimerudi,hapana ,Majaliwa ni kiongozi bora sana kamwe hawezi kutolewa hapo alipo mtaumia bure

Go PM.
Msifuni kama mlivyokuwa mnamjaza kichwa mwendazake, yetu macho.
 
Katiba ndioo inaikwamisha nchi, ingetakiwa kuwe na Brand New phase ya uongozi kwa kuitishwa uchaguzi mpya, ki ukweli mama samia ana uwanja mpya wa kufanya jipya la kumdifine kwenye miaka hii mimne iliyobaki.
 
Hivi karibuni kabla ya kifo chake ulimsikia akiimba Tanzania ya viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…