Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

2025 ni patamu, wapinzani wakijipanfa vizuri watachukua nchi, endapo mama atatelekeza miradi ya JPM
Wakae wajue nguvu iliyomweka magufuli 2015 kuwa rais ndio iliyo mpa jeuri willbroad slaa dhidi ya kikwete[emoji7], na bado ipo sana, makaisari wa namuona tu, akiboronga ataletewa mtu 2025, sasa jidanganyeni akishupaza shingo itavunjwa, hata kwa chadema yenu atapewa mtu nchi kwa miaka 5 tu, ili tuheshimiane, nawaibia tena, ile kanda muiache kama ilivyo ndio inaamua nchi iende kwa nani, mkae mtulie kabisa msiwaone wajinga.
 
Unakuta watu wanajiongelesha na kujifanya wana maono sana wakati hawajui lolote kuhusu uongozi hata shuleni hawakuwahi kua viranja, halafu wanabetua mabega juu kumshauri rais eti atakwamishwa na waziri mkuu,

Pathetic.
Umeona sasa mkuu, wapumbavu sana
 
Wanaomuwekea rais mazingira magumu ni CCM wenyewe wakiwemo wabunge wanaomlazimisha afuate ya marehemu hata kama yalikuwa hayafai.
Rais hajawahi sema haifai, ninyi ndiyo mnatamani aseme hivyo...Kitakacho m judge kwa wananchi ni ilani aliyoinadi kwenye campaign ndiyo mkataba wa uchaguzi tulioufanya, na yeye alikuwa mgombea mwenza. Msimpotoshe Rais...
 
Sisomi nyota manaa mnajulikana msijidanganye kuwa hamjulikani.
Muda utasema
Nikupe address yangu uje kunisalimia? Unafikiri mimi sijulikani? Najulikana na ni mtanzania wala si mkimbizi...Uje tupeane moja mbili
 
Kuna sukuma gang ikiongozwa na PM inataka kumnyaua maza nini!!?

Ila hawa jamaa wapo chini chini lkn ni kama wana kanguvu flani hv aise sio wa kuwapuuza hata kidogo ni kuwala vichwa tuu
sema walane vichwa maana nahisi wanajuana nawanalina timing au wakubaline wale wote ama tukose wote hizo siku zote ni game za kisiasa ila wanaoitwabwanyonge hula mabaki tu lakini mambo yakichacha wanyonge ndio hula maumivu yote
 
Eti " serikali ya Magufuli ilikua ya viwanda lakini ikafeli" mnadhani viwanda ni gari unanunua tu na kukamilisha usajili? Unapoongelea viwanda kuna factors nyingi wawekezaji wanaangalia kabla ya kujenga viwanda. Ya kwanza kabisa ni amani na utulivu wa nchi
2) nishati ya umeme wa uhakika na bei rahisi
3) miundombinu ya barabara,reli, ndege, bandari nk
4) malighafi (raw materials)
5) cheap and competent labours
6) tax system ya nchi
Nk

Magufuli alianza na miundombinu ya umeme, tunashukuru pia Kikwete aliwekeza kwenye miundombinu ya barabara. Nchi ya viwanda inaandaliwa si chini ya miaka 20, it's not an overnight process, mzee Magufuli alikua na maono, weka reli, weka mabwawa ya umeme, tanua bandari ya dsm, tanga na Mtwara nk bahati mbaya kaondoka bila miradi kukamilika

Sasa huyu anayekuja aamue kama ataendelea au ataacha, mwisho wa siku serikali ni ileile ya CCM. Lakini tumpe credit yule mzee.. alikua na jicho pana
 
Yeye anaweza akawa CCM lakini asiwe na sifa za kupenda kusifiwa, asiwe na sifa za kucheza na jukwaa, asiwe na sifa za kumkomoa mtu, asiwe na sifa za roho mbaya nk

kwani unatarajia nini mpaka kumtolea Mungu sadaka kwa kumuua kagufuli!!!

tulia uijue ccm vyema,wacha haraka.
 
Nikupe address yangu uje kunisalimia? Unafikiri mimi sijulikani? Najulikana na ni mtanzania wala si mkimbizi...Uje tupeane moja mbili
Inaomekana ulishiriki kujaribu kumuua mh Lissu
 
Inaomekana ulishiriki kujaribu kumuua mh Lissu
Kwahiyo unaogopa?

We si ulitaka kunifahamu? Nakukaribisha unanisingizia maovu?
Nimekrahisishia badala ya kuwa mnajimu njoo tuongee!
Daah pole, sasa nikusaidiaje?
 
Kwahiyo unaogopa?

We si ulitaka kunifahamu? Nakukaribisha unanisingizia maovu?
Nimekrahisishia badala ya kuwa mnajimu njoo tuongee!
Daah pole, sasa nikusaidiaje?
Siwezi kuongea na climinal
 
Siwezi kuongea na climinal
Basi tulia kisha kafanye homework yako maana naona naongea na mtoto wa shule ya secondary ambaye hata herufi za maneno hajazielewa vyema
 
Basi tulia kisha kafanye homework yako maana naona naongea na mtoto wa shule ya secondary ambaye hata herufi za maneno hajazielewa vyema
Katulie wewe kkkb
 
Eti " serikali ya Magufuli ilikua ya viwanda lakini ikafeli" mnadhani viwanda ni gari unanunua tu na kukamilisha usajili? Unapoongelea viwanda kuna factors nyingi wawekezaji wanaangalia kabla ya kujenga viwanda. Ya kwanza kabisa ni amani na utulivu wa nchi
2) nishati ya umeme wa uhakika na bei rahisi
3) miundombinu ya barabara,reli, ndege, bandari nk
4) malighafi (raw materials)
5) cheap and competent labours
6) tax system ya nchi
Nk

Magufuli alianza na miundombinu ya umeme, tunashukuru pia Kikwete aliwekeza kwenye miundombinu ya barabara. Nchi ya viwanda inaandaliwa si chini ya miaka 20, it's not an overnight process, mzee Magufuli alikua na maono, weka reli, weka mabwawa ya umeme, tanua bandari ya dsm, tanga na Mtwara nk bahati mbaya kaondoka bila miradi kukamilika

Sasa huyu anayekuja aamue kama ataendelea au ataacha, mwisho wa siku serikali ni ileile ya CCM. Lakini tumpe credit yule mzee.. alikua na jicho pana
Vile 4,000 mlivyokuwa mnatangaza mmejenga sio viwanda?
 
Back
Top Bottom