Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

Ndiyo maana Mungu aliingilia kati kuliponya Taifa letu
 
Kibajaji, Jah people na Msukuma waipate hii
Hawa unaowataja ndio walizungumza la maana tofauti na kundi la Spika Ndugai na wengine....Yaani Spika Ndugai anatamka bungeni kuwa eti JPM alishauriwa vibaya kuhusu bandari ya Bagamoyo...hata arobaini haijafika Spika anasema hivyo? Kwa hiyo Musukuma, kibajaj na Jah people kauli yao ni ya Watanzania wengi...
 

..ina maana Rais Samia hataki kuwa na legacy, au hatakuwa na legacy?
 
Yaani CCM waliobaki hapo bungeni kazi yao imebaki MIPASHO TU na masengenyo ya kijinga

Kumbe Upinzani ulikuwa unaleta afya na mantiki bungeni

Wamebaki vilaza tu
 
Na anajua pia kwamba wanamtandao wanaongoza bunge! Hakuna cha budget kule, wanachungulia madini tu humu, wanaenda kubishana huko!
 
"Yeye na Magufuli ni kitu kimoja"

Hii kauli ni ya kufungia mjadala Ila ukweli halisi anao yeye Mama.
Machadema yanajibebisha kwa mama sijui kwa faida gani?

Subirini 2025 mtagongwa mavichwa hayo msiamini kama ndio yeye
 
Speaker aongoze bunge kwa busara. Na saiv bunge ni kijani tupu hakuna wa kumsingizia uchawi
 
Kwani kusema hivyo ni kosa au kuna kanuni inayo taka mhalifu asisemwe kabla ya arobaini?
 
Zimeingia zama za blue na red?

[emoji441]Ccm ni ile ile..[emoji447][emoji448].[emoji446] ooh ni ile ile[emoji443][emoji444][emoji444][emoji343][emoji397]
Zama za kusifu na kuabudu zimekwisha... Wale jamaa wa kijani bado hawaamini kuwa zama zimebadilika.
 
Spika jitathimini...unalipeleka bunge wapi??

Aisee kama hujui position yako tayari imekuwa quarried na Rais wa nchi.

kazi unayo!!
 
Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025
CCM tangu lini inategemea kura za wapiga kura? CCM inacheza na tume ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…