Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Amechoshwa na mashudu ya matagaUvumilivu umemshinda.
Wanatumia miezi minne kujadili bajeti.......yaani ujinga mtupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechoshwa na mashudu ya matagaUvumilivu umemshinda.
Wanatumia miezi minne kujadili bajeti.......yaani ujinga mtupu!
ila kiukweli kuna watu dunia hii mna NONGWA, WIVU, HILA, FITNA (WAGOMBANISHI), MAJUNGU, UHASAMA, CHUKI, HUSDA, SHAKA (KUJISHUKU), na pengina udini na ukabila KUPITA MAELEZO!!!Anajirudi[emoji23][emoji23][emoji23].....mambo mengine bila technique kwisha
Mama kazungumzia mijadala ya wabunge wanayoifanya wakiwa bungeni hivi sasa. Wafanye yaliyowapeleke bungeni,waachane na kucheza ngoma za mitandaoni.Mitandaoni ndo mambo yanaanzia huko kwani mtanzania akiwa na simu ,bando na account FB au Twitter anajifanya ni mchambuzi wa kisiasa na kiuchumi.
Muda unavyokwenda CCM itawalazimu kutegemea kura kwani dalili zipo waziCCM tangu lini inategemea kura za wapiga kura? CCM inacheza na tume ya uchaguzi.
Mkuu umetafsiri kulingana na kile unachokifurahia.Kiuhalisia sio unachomanisha wewe.Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025
Sijakusoma mkuu.Vp mmeshapasuliwa tayari
achana nae ni chakula huyoWe jamaa unazingua katika kila uzi we comment yako ni hii tu
HahahahahahahahaNilileta uzi nikiwataka wabunge kujadili mambo ya msingi, MODS wakatembea nao juu kwa juu. Sasa hii imekaaje? Nidai fidia au mnasemaje wadau?
Hahahaaa.
Samia kanena. Kichwa cha mada ni nukuu toka mdomoni mwake.
“Mnalinganisha Magufuli na Samia. Hawa watu ni kitu hiki, kimoja”
Haya sasa. Now what..?
Dakika ya 1:25 - 1:145.
Hahahaaaa...... Nilisema hapa vikao vya bunge vipunguzwe!Amechoshwa na mashudu ya mataga
Hahahaaaa......leo atalala na viatu!Ndugai ana demka kwa maringo ya kigogo
At least she has now spoken. What was going on there has no benefit for the development of this country.Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli....
Hakika mkuu!At least she has now spoken. What was going on there has no benefit for the development of this country.
Mama anautambua ukweli. Na hilo ndilo tumekuwa tukiwaeleza wavimba macho kila mara.Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli....