Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The living Ghost!Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Ni makampuni ya madini hayahaya yaliwatajirisha mabilionea mawakili wa CHADEMA na IMMMA, wakiachiana Urais TLS. Wanawatukana mchana, ikifika usiku wanapeleka invoice za taxplanning, wanalipwa vinono kumbe zimetoka makinikia yetu waliyokuwa wanakwiba. Mara kaja Rais mzalendo green hadi mdomoni. Hajamaliza wiki 2 shujaa kakamata malori na malori ya makanikia bandarini. Wakamchukia kina tundulissu, wa TLS, fatmakarume, pamoja na Activists hawampendi Magu hadi leo kaburini.Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo
Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo mwezi Juni ni 72000 lakini wale wanaotarajiwa kuanza kidato cha 5 wakiwa ni zaidi ya 192000 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi zaidi ya 120000
Rais Samia amewaomba watanzania wengine kuunga mkono jitihada za serikali huku akisisitiza kuwa kwa sasa suala la madarasa watakayosoma watoto wa Kitanzania wa kidato cha 5 kwa muhula ujao wa masomo ndilo suala linalomnyima usingizi kwa sasa.
Katika mchango walioutoa Barick utawasilishwa kwa awamu tatu tofauti wakianza na kutoa Dola Milioni 10.
Kuropoka ni rahisi sana,bwana wenu Mwendazake aliwahi kujenga hata darasa? Au kununua dawati?Mwambie hakuna kitu kama hicho na hasitafute huruma kwa watanzania anaowanyonya kila siku kupitia viongozi waka hasa M.Rameck Ester big stars, Anakosaje hela ya kujenga madarasa wakati anapata hela ya kununua gori moja 5mln?
Akikujibu, mijadala ianzie hapo.
Hayo mahitaji Huwa hayaishi ni kama kula ila Samia anajaribu kuondoa gap kubwa lililopo walau Kwa robo 3tusipokuwa makini tutakuwa tunajenga vyumba vya madarasa, barabara, mahospitali nk mpaka mwisho wa dunia.
Fala wewe hiyo ni donation has nothing to do with Twiga company ya Barrick na SerikaliSio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Wanalazimisha mtu wao aendelee kubaki kwenye chati 😁😁😁 ,haifiki 2025 tutakuwa tumemsahau kabisa maana Kasi ya mama sio ya Nchi hii.Vipi makusanyo ya trillion 2 na yenyewe ni sababu ya JPM? Au ndio mnaforce Kila sehemu atajwe JPM mridhike.
Mnachekesha
Unajua mauzo ya dhahabu mwaka uliopita wewe au unaropoka tuu?Nani katoa hela Barrick au Twiga ndio implication zilipo.
Barrick hawezi kutoa hiyo hela kama charity Tanzania, ikakubalika ku claim huko kwao. Na awawezi kutoa kiasi hiko kwenye reserve zao bila ya kibali cha shareholders so ukipekuwa report yao huo mpango ungeukuta.
So, commonsense ni commitment kutoka Twiga (Barrick kama main shareholder), ana maamuzi ya kiwango cha donations wanazoweza toa.
Sasa mziki unakuja how those funds are treated in the accounting, given the business performance. Ndipo hapo watu wanaweza tengeneza losses na tax rebate.
Halafu which is better kwako kama biashara uondoe $30 million 100% as an expense kupitia qualified donations. Au kwenye hiyo $30 million ulipie corporate tax 35% ubaki na 65% ($19.5m). It’s a no brainer decision utataka $30m uipate yote 100% kama kuna uwezekano huo.
Losses hazitokani na sababu ulizotaja hapo ni nyingi; ila sasa kwenye tax rebate ukiongeza na charitable donations; mjomba watu wanaweza wasilipe kodi kwa miaka mingi sana, especially if they opt to partly claim hizo loses ili kufidia charitable donation kwanza.
Kuhusu Internal trading kuna rules of engagement in taxation Barrick Canada and Barrick Australia don’t play by the same accounting under IFRS rules.
Transfer pricing is only valid on business registered in the same countries kuna rules zake kwenye consolidation on what to include for both parties. Busara ni kubaki kwenye charitable donations za Tanzania sio kuingiza mambo ambayo hayapo kwenye hoja husika.
Hapo hawajasema? Samia hasubirii Misaada kujenga hayo uliyosema anajenga mwenyewe..Misaada ya wazungu huwa ni ya kupumbaza hawasemi kujenga vyuo vya ufundi au scheme za umwagiliaji au maabara za kisasa wanataka watudumadhe kwenye nadharia tu.
Acha unaa wewe!Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Hebu waambie ukweli hawa watu aisee!Mwambie hakuna kitu kama hicho na hasitafute huruma kwa watanzania anaowanyonya kila siku kupitia viongozi waka hasa M.Rameck Ester big stars, Anakosaje hela ya kujenga madarasa wakati anapata hela ya kununua gori moja 5mln?
Akikujibu, mijadala ianzie hapo.
Huruma gani? Unadhani Samia ni Kama yule failure wenu?Hebu waambie ukweli hawa watu aisee!
Esta Luxury buses! Daadeki! Hamieni Burundi!Hebu tuweke wazi hiyo M.RAMEK ESTER BIG STAR ni kitu gani?
Failure wakati yeye ndo alimweka hapo alipo?Huruma gani? Unadhani Samia ni Kama yule failure wenu?
Samia amekuwa kwenye siasa kabla ya Mwendazake usijitoe ufahanu..Failure wakati yeye ndo alimweka hapo alipo?
Nambie lini uliwai piga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Makamu wa raisi?.(Yaani Huyu mama ni yule rafiki unayemwamini alafu anakugeuka)Samia amekuwa kwenye siasa kabla ya Mwendazake usijitoe ufahanu..
Samia kawekwa na Mungu,nyie mlisema Chaguo la Mwendazake ni Rais wa Zanzibar Mwinyi na sio Samia.