Why are you overstating hiyo charity yaani inawezekana kweli charity iwe 80% ya Net income?? Hivi USD 30 Million ni 80% ya Net income za Barrick hapa Tanzania?? Si unaona unavyo mislead.
Maadam pesa inaenda serikalini hata wakiidai baadae isikae kwenye taxable income shida ikwapi si wameshawasilisha serikalini directly? Au unataka wafanyiwe tax cascading/double taxation??
Kingine transfer pricing ni pale mfano Revenue ni USD 200 Million basi Barrick Tz inanunua "refinery" kutoka Barrick Australia kwa USD 50 Million ilihali market price ni USD 20 Million so hiyo extra 30 Million inakua ndio excess iliyohamishwa Ili tu expenses ziongezeke so Kodi inapungua kwa serikali ya Tanzania.
Why wasitumie transfer pricing eti wajifiche kwenye Charity.
Nani katoa hela Barrick au Twiga ndio implication zilipo.
Barrick hawezi kutoa hiyo hela kama charity Tanzania, ikakubalika ku claim huko kwao. Na awawezi kutoa kiasi hiko kwenye reserve zao bila ya kibali cha shareholders so ukipekuwa report yao huo mpango ungeukuta.
So, commonsense ni commitment kutoka Twiga (Barrick kama main shareholder), ana maamuzi ya kiwango cha donations wanazoweza toa.
Sasa mziki unakuja how those funds are treated in the accounting, given the business performance. Ndipo hapo watu wanaweza tengeneza losses na tax rebate.
Halafu which is better kwako kama biashara uondoe $30 million 100% as an expense kupitia qualified donations. Au kwenye hiyo $30 million ulipie corporate tax 35% ubaki na 65% ($19.5m). It’s a no brainer decision utataka $30m uipate yote 100% kama kuna uwezekano huo.
Losses hazitokani na sababu ulizotaja hapo ni nyingi; ila sasa kwenye tax rebate ukiongeza na charitable donations; mjomba watu wanaweza wasilipe kodi kwa miaka mingi sana, especially if they opt to partly claim hizo loses ili kufidia charitable donation kwanza.
Kuhusu Internal trading kuna rules of engagement in taxation Barrick Canada and Barrick Australia don’t play by the same accounting under IFRS rules.
Transfer pricing is only valid on business registered in the same countries kuna rules zake kwenye consolidation on what to include for both parties. Busara ni kubaki kwenye charitable donations za Tanzania sio kuingiza mambo ambayo hayapo kwenye hoja husika.