Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

Mwenyewe nikiwa na kibunda Kwa mkono nachanganyikiwaga hatareee
 
Hakuna serikali makini inaweza pokea charity kama hiyo ni kuchochea ukwepaji kodi.
Acha kupotosha hiyo ni corporate social responsibility so ni lazima mtoe baadhi ya faida kwa ajili ya community inayowazunguka Ili waone tija ya uwekezaji. Hiyo ni PR sio hongo, acheni kupotosha.

JPM alipokea kishika uchumba je ilikua ni hongo?? Maana Ile haikua deni Wala Nini ilikua pesa ya good faith tu ila mlipokea na mkampigia makofi ila akipewa Samia mnatoka povu.
 
Kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa kuna 'upigaji'mwingi sana.
Nadhani wahusika wameshajua udhaifu wa serikali yao.
Ni afadhali kujenga viwanda hata kama wanafunzi wakisomea chini ya mti, wakimaliza wapate ajira.

Kila fedha kuelekezwa kwenye ujenzi wa vyumba vya madarasa kuna tatizo mahali
Jenga wewe ivyo viwanda
 
Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo

Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo mwezi Juni ni 72000 lakini wale wanaotarajiwa kuanza kidato cha 5 wakiwa ni zaidi ya 192000 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi zaidi ya 120000

Rais Samia amewaomba watanzania wengine kuunga mkono jitihada za serikali huku akisisitiza kuwa kwa sasa suala la madarasa watakayosoma watoto wa Kitanzania wa kidato cha 5 kwa muhula ujao wa masomo ndilo suala linalomnyima usingizi kwa sasa.

Katika mchango walioutoa Barick utawasilishwa kwa awamu tatu tofauti wakianza na kutoa Dola Milioni 10.
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Awaambia waha wapunguze kazi ya kuzaana kama wana wa israel
 
Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
KABUDI AND MAGUFULI WALIUA WATU AND MAY BE YOU BEING ONE OF THEM, THEY WERE KILLERS, TO ME THAT IS RUBBISH AND NASTY MONEY! EVIL MONEY FROM THE HANDS TAINTED WITH BLOOD OF DEAD INNOCENT PEOPLE
 
Acha kupotosha hiyo ni corporate social responsibility so ni lazima mtoe baadhi ya faida kwa ajili ya community inayowazunguka Ili waone tija ya uwekezaji. Hiyo ni PR sio hongo, acheni kupotosha.

JPM alipokea kishika uchumba je ilikua ni hongo?? Maana Ile haikua deni Wala Nini ilikua pesa ya good faith tu ila mlipokea na mkampigia makofi ila akipewa Samia mnatoka povu.
Nani aliesema hongo? Binafsi nilichosema wawe makini hayo mambo yana madhara ya kikodi; au kwenye ukwepaji wake.

Ndugu donations (local and national) zote ni expenses zina utaratibu tofauti tu wa kuzitoa.

National donations unazitoa kabla ya kulipa kodi kama una hela ya ku-cover; hakuna deni unalipeleka mbele mwaka unaofuata mpaka linaisha.

Na kwa kanuni za IFRS uwezi kuandika charitable donations zaidi ya ulizotoa, sio ulizoahidi.

Hayo mambo inabidi uwe na uelewa wa corporate tax, unadhani hizo hela wanazotoa kama CSR awazidai baadae; you are not serious.
 
Serikali inatakiwa kuwa makini hayo mambo yana mbinu zake kwenye kutengeneza losses na kutafuta tax rebate; hasa kwa nchi kama Tanzania ambapo taasisi nyingi hazifuati IFRS kwenye kuandaa financial statement zao
Kwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??
 
Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo mwezi Juni ni 72000 lakini wale wanaotarajiwa kuanza kidato cha 5 wakiwa ni zaidi ya 192000 hivyo kuwa na ongezeko la wanafunzi zaidi ya 120000
Upungufu mkubwa kwa vijana wasomi wa Tanzania siku hizi ni habari kama hizi.
Habari yoyote ikihusu tarakimu tu, ni matatizo makubwa sana kwao kuziwasilisha sahihi.
 
donations (local and national) zote ni expenses zina utaratibu tofauti tu wa kuzitoa.
You are still misleading, hata kama isingeitwa expense ukitoa charity huingizi faida mind you Kodi inakatwa kwenye income au expense inayoingiza faida. Sasa kama ni charity why would u include it in the taxable income? Hata mtu binafsi tu au makanisa pesa ya misaada au kuagiza asset ambayo inatumika kanisani since haiingizi faida u can't tax it per se.

Ningeona ni wahuni kama wangeongeza expenses kwa kufanya transfer pricing na barrick subsidiaries around the globe ila kama wameongeza expenses kwa kutoa msaada shida Iko wapi?
 
Nani aliesema hongo? Binafsi nilichosema wawe makini ambayo yana madhara ya kikodi; au kwenye ukwepaji wake.

Ndugu donations (local and national) zote ni expenses zina utaratibu tofauti tu wa kuzitoa.

National donations unazitoa kabla ya kulipa kodi kama una hela ya ku-cover; hakuna deni unalipeleka mbele mwaka unaofuata mpaka linaisha.

Na kwa kanuni za IFRS uwezi kuandika charitable donations zaidi ya ulizotoa, sio ulizoahidi.

Hayo mambo inabidi uwe na uelewa wa corporate tax, unadhani hizo hela wanazotoa kama CSR awazidai baadae; you are not serious.
Kuna mjadala mzuri hapa.
Kwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??
Nadhani swala ni kukubaliana tu kwamba pande zote mbili zina hoja.
 
Kwanini wasiibe kwenye transfer pricing ambako sheria sio kali kivile ndio waje waibe kwenye charity ambako inakuja Bado serikalini??
Charity inatolewa kabla ya kulipa kodi kwenye net income
Net Income 40
QCD. 30
T.I. 10

Kama kuna losses hapo mziki unachezwa vingine mbeleni kwenye kudadavua kodi.
Ni unnecessary gain kwa serikali, mpaka hiyo hela irudi.

Transfer pricing ndio kitu gani?
 
Pesa anamwaga kwa Simba na Yanga,anatoa misaada malawi,anaanzisha sherehe za kujipongeza
 
Charity inatolewa kabla ya kulipa kodi kwenye net income
Net Income 40
QCD. 30
T.I. 10

Kama kuna losses hapo mziki unachezwa vingine mbeleni kwenye kudadavua kodi.
Ni unnecessary gain kwa serikali, mpaka hiyo hela irudi.

Transfer pricing ndio kitu gani?
Why are you overstating hiyo charity yaani inawezekana kweli charity iwe 80% ya Net income?? Hivi USD 30 Million ni 80% ya Net income za Barrick hapa Tanzania?? Si unaona unavyo mislead.

Maadam pesa inaenda serikalini hata wakiidai baadae isikae kwenye taxable income shida ikwapi si wameshawasilisha serikalini directly? Au unataka wafanyiwe tax cascading/double taxation??

Kingine transfer pricing ni pale mfano Revenue ni USD 200 Million basi Barrick Tz inanunua "refinery" kutoka Barrick Australia kwa USD 50 Million ilihali market price ni USD 20 Million so hiyo extra 30 Million inakua ndio excess iliyohamishwa Ili tu expenses ziongezeke so Kodi inapungua kwa serikali ya Tanzania.

Why wasitumie transfer pricing eti wajifiche kwenye Charity.
 
Nani katoa hela Barrick au Twiga ndio implication zilipo.

Barrick hawezi kutoa hiyo hela kama charity Tanzania, ikakubalika ku claim huko kwao. Na awawezi kutoa kiasi hiko kwenye reserve zao bila ya kibali cha shareholders so ukipekuwa report yao huo mpango ungeukuta.

So, commonsense ni commitment kutoka Twiga (Barrick kama main shareholder), ana maamuzi ya kiwango cha donations wanazoweza toa.

Sasa mziki unakuja how those funds are treated in the accounting, given the business performance. Ndipo hapo watu wanaweza tengeneza losses na tax rebate.

Halafu which is better kwako kama biashara uondoe $30 million 100% as an expense kupitia qualified donations. Au kwenye hiyo $30 million ulipie corporate tax 35% ubaki na 65% ($19.5m). It’s a no brainer decision utataka $30m uipate yote 100% kama kuna uwezekano huo.

Losses hazitokani na sababu ulizotaja hapo ni nyingi; ila sasa kwenye tax rebate ukiongeza na charitable donations; mjomba watu wanaweza wasilipe kodi kwa miaka mingi sana, especially if they opt to partly claim hizo loses ili kufidia charitable donation kwanza.

Kuhusu Internal trading kuna rules of engagement in taxation Barrick Canada and Barrick Australia don’t play by the same accounting under IFRS rules.

Transfer pricing is only valid on business registered in the same countries kuna rules zake kwenye consolidation on what to include for both parties. Busara ni kubaki kwenye charitable donations za Tanzania sio kuingiza mambo ambayo hayapo kwenye hoja husika.
 
Back
Top Bottom