Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

Misaada ya wazungu huwa ni ya kupumbaza hawasemi kujenga vyuo vya ufundi au scheme za umwagiliaji au maabara za kisasa wanataka watudumadhe kwenye nadharia tu.
 
tusipokuwa makini tutakuwa tunajenga vyumba vya madarasa, barabara, mahospitali nk mpaka mwisho wa dunia.
 
Ni makampuni ya madini hayahaya yaliwatajirisha mabilionea mawakili wa CHADEMA na IMMMA, wakiachiana Urais TLS. Wanawatukana mchana, ikifika usiku wanapeleka invoice za taxplanning, wanalipwa vinono kumbe zimetoka makinikia yetu waliyokuwa wanakwiba. Mara kaja Rais mzalendo green hadi mdomoni. Hajamaliza wiki 2 shujaa kakamata malori na malori ya makanikia bandarini. Wakamchukia kina tundulissu, wa TLS, fatmakarume, pamoja na Activists hawampendi Magu hadi leo kaburini.
 
Kuropoka ni rahisi sana,bwana wenu Mwendazake aliwahi kujenga hata darasa? Au kununua dawati?

Mwisho darasa Moja ni mil.20-25 Sasa sijui mil.5 Yako ndio inaweza kamilisha hata choo?

Punguza upumbavu kabla ya ku comment.
 
tusipokuwa makini tutakuwa tunajenga vyumba vya madarasa, barabara, mahospitali nk mpaka mwisho wa dunia.
Hayo mahitaji Huwa hayaishi ni kama kula ila Samia anajaribu kuondoa gap kubwa lililopo walau Kwa robo 3
 
Sio mchango. Ni pesa yetu kupitia kampuni yetu ya twiga. Hayo ni moja ya matunda ya Magufuli na Kabudi. Ila hawatasema.
Fala wewe hiyo ni donation has nothing to do with Twiga company ya Barrick na Serikali
 
Vipi makusanyo ya trillion 2 na yenyewe ni sababu ya JPM? Au ndio mnaforce Kila sehemu atajwe JPM mridhike.

Mnachekesha
Wanalazimisha mtu wao aendelee kubaki kwenye chati 😁😁😁 ,haifiki 2025 tutakuwa tumemsahau kabisa maana Kasi ya mama sio ya Nchi hii.
 
Unajua mauzo ya dhahabu mwaka uliopita wewe au unaropoka tuu?

Hiyo ni donation tuu ya Barrick ,Twiga hana maamuzi yoyote huko ana share ndogo sana.
 
Misaada ya wazungu huwa ni ya kupumbaza hawasemi kujenga vyuo vya ufundi au scheme za umwagiliaji au maabara za kisasa wanataka watudumadhe kwenye nadharia tu.
Hapo hawajasema? Samia hasubirii Misaada kujenga hayo uliyosema anajenga mwenyewe..


Vyuo Vikuu Kila Mkoa.

Veta Kila Wilaya na baadhi yake ni hizi hapa 👇
 
Hebu waambie ukweli hawa watu aisee!
 
Serikali ingeacha nunua LC300 lazima wangejenga madarasa maana kwa sasa kuna upungufu wa madarasa zaidi ya 20000

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Failure wakati yeye ndo alimweka hapo alipo?
Samia amekuwa kwenye siasa kabla ya Mwendazake usijitoe ufahanu..

Samia kawekwa na Mungu,nyie mlisema Chaguo la Mwendazake ni Rais wa Zanzibar Mwinyi na sio Samia.
 
Samia amekuwa kwenye siasa kabla ya Mwendazake usijitoe ufahanu..

Samia kawekwa na Mungu,nyie mlisema Chaguo la Mwendazake ni Rais wa Zanzibar Mwinyi na sio Samia.
Nambie lini uliwai piga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Makamu wa raisi?.(Yaani Huyu mama ni yule rafiki unayemwamini alafu anakugeuka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…