Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Hata iweje hatarudishwa TPA, alikuwa jeuri sana huyu kisa urafiki na the LateKwa nini tunaonyesha kila dalili ya kufurahia jambo bila hata kuchukua muda kutafakari?
Amesimamishwa kazi na hajafukuzwa kazi.
Uchunguzi wa kina ufanyike!!
Kipi cha ku celebrate hapo?
Maskini watanzania!!
Kazi imeanza, mliodhani mama ni soft soft kuliendesha taifa mjitafakari tenaRais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Kwanini haya madudu hatukuwahi kuyasikia huki bandarini JPM akiwa hai na kwanini iwe leo? Kuna siri ilifichika nae alikuwa mpigaji tuUkimteuwa mtu hawezi kua mbaya?! Ni sawa mtu anaowa baada ya mwaka wanaachana tena kwa ugomvi mkubwa na walikua na mapenzi hatariii
Athubutu,muulize prof AssadAsingeweza
Sasa wataanzia wapi....?Wachunguze pia na Ubadhilifu wa majengo yote ya chato mana hakuna anayejua
Fungu la mkuu lilikuwa linawasilishwa vyema.Kumbe mzee baba kuna watu wakiiba alikuwa anageuza shingo!
Hii ni hatari sana...ni wazi eidha jamaa yuko humo humo au source zake za taarifa ziko huko humo. Haiwezekani akawa na sensitive info kiasi hiki...hata siri zake rais maana yake jamaa anazipata....Huenda yupo humo humo ikulu.
Inner cycle! Kuna mole! Shame sijui watamng'oaje?
Everyday is Saturday............................... 😎
Mkuu kabisa miradi yote ya meko ni upigaji,ukuta wa mererani dotto biteko atoe maelezo upigaji upo sana hapo.....migodi ya dhahabu irudishiwe nguvu kama zamani sio kuwasumbua wawekezajiNdio maana tulikuwa tunasema awamu ya meko ina wapiga dili kibao kuliko hata awamu ya kikwete.
TISS imeshakuwa ya hovyo tayari.heshima yao inaporomoka kwa kasi,sema kuna baadhi ya wanasiasa mlengo wa kushoto wana vijana wao kule,imagine umewatoa vijana wako mtaani ukawapa ulaji TISS, hawawezi kukuangusha ukihitaji kitu kutoka kwao. Vita ya ndani kwa ndani ,ngumu sana.Duh...
Samia aiunde upya ikulu na taasisi ya tiss, haiwezekani huyu jamaa awe anapata taarifa kiasi hiki...
There is a big fissure somewhere...
Kiufupi ni kwamba Dg aliwahi kuziwia makontena ya mama yetu yule mbunge wa kule Nan. Alie wahi kua first Lady.
Mzee alichachamaa Sana na kufikia Hatua mpaka ya kuita wazee wa Baraza na kuwaambia kua anacho fanya Hayat hajakipenda na Akubalian nacho
Mambo yakaenda wakayamaliza ila Bifu lilibak hasa kwa uyo Dg mana yeye ndie alie toa Amri ya kuziwia contena kipind icho
Pia bila shaka system Ile ya nimeichukua ka hela kaMboga imesha shika uskan walio kua Upande wa Hayat na wakabania watu wa system wajiandae mana soon wanaliwa vichwa pia mama yetu tayar Amesha chagua Upande
Kigogo pia ni mtu Wa Ndan ya ccm Ile ya system ndiomana amejua kua fulan siku fulan hato kuepo atatimuliwa sababu majina yote ya watu wasio hitajika hata yeye anayo so kazi yake ni kuyasoma tu na kuyataja hadharan
Kwa hili ni wazi kabisa kua kigogo ni vigogo time will tell
Mama amesha chagua Upande
Raisi JPM alitumbua sana ila hakukuwa na mfumo. Namuona mama kama mtu atakayewezesha mfumo kuliko utumbuaji.Wacha Rais afanye yake maana majipu yalipungua ila kwisha bado na mengine yalianza kuchipukia kabla hata ya maziko
cAG ni nini? kwani Samia hawezi kuunda tume ya watu kadhaa ubobevu wa uchumi wakaenda?Sasa wataanzia wapi....?
Moto ni uleule🔥🔥🔥🔥🔥Oooyaaaaa!.........mama huyo anaingia kwa spidi....!
Mkuu nani angethubutu kusema? Hiyo hasara ya ATCL yenyewe imesemwa leo kwa sababu Meko yuko chini ya ardhi, miaka 5 mfulilizo hakuna faida na tulidanganywa kwamba ATCL inaingiza faida kubwa.Mimi najiuliza hivii...!!
1. Huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 6 March 2021?
2. Au huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 17 March 2021?
3. Kama ubadhirifu ulikuwepo? Kwanini haukusemwa kabla?
Hayati alikua ndio mpigaji hao vibaka wake walikua wanatii maagizo yake tuSamia angewe za hata kumtumbua Magufuli kwa jinsi alivyokuwa akilea wizi
Atakwenda maji na the coming report ya CAG against BOT ambayo imeagizwa ifanywe kuanzia leo, yaani huyu Dotto James PST sidhani kama tumbo lake linakubali chakula vema toka jiwe atutoke&₹)((;:;()₹. CBado Dotto James
Na kama angekuwa prof Assad tungesikia mengiiiMamaaaaaa....! Nashauri Mussa Assad arudishwe kwenye serikali yako