Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

I second you. JPM kwa uzalendo alikua namba moja, sidhani kama kuna Rais aliyekua na uchungu na hii nchi kama yule mzee

Tatizo lake kubwa alikua anataka kutengeneza "Cult personality" kwamba watu wote waone juhudi zake yeye kama yeye binafsi sio serikali kwa ujumla. Na watoto wa mjini walilijua hilo wakawa wananata na biti hapo hapo kumpamba huku wanafanya mitikasi yao
 
Kisa ubadhirifi mkubwa bandarini. Ripoti ya CAG yamkaanga japo CAG hakitoa pendekezo la kumsimamisha kazi, badala yake wamesimamishwa wa chini. Mheshimiwa Rais kaamua kumtubua mkubwa.
Source : TBC.
Report zote za CAG hakuna sehemu anatoa mapendekezo mtu asimamishwe, yeye huwa anatoa mapendekezo namna ya kulikabili tatizo kulingana finding, implication na cause.

User including authorities ndo wana take action.
 
Ata sijaelewa mara makotena mara bifu, mara kigogo, ngoja nirudie kusoma upya
 
Duhh... Mama eee...
 
Aah waapi. Ripoti ni ya CAG tena wa awamu iliyopita mstaafu anatoka wapi?
Hujiuliz why Dg katumbuliwa baada ya Rais kusomewa Ripot na kutambua kua Dg hafai Kuna madudu Wakat before kigogo amesha jua inamaana kigogo alijua before kua fulan analiwa kichwa on time
 
Tupo pamoja sana.
 
Hakuna kitu, UNAZIKUMBUKA ZILE AMBULENCE SIJUI ZILIPOTEA SIJUI ZILIFICHWA BANDARI..!!??
 
Mie naamini Mwl Nyerere alikuwa zaidi yake
 
Mama Tena kuwa makini Sana na MATAGA,hawakawii kukuambia unakataa,unakataa nin..?

Tunakulazimishaa...!!

Miyeyusho Sana hao,hebu check hapo kwa Mfugale pia,maana naskia kulikuwa ni kichaka Cha upigaji sana hapo Tena ni Untouchables,real Untouchable Gang...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…