THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Means what,kigogo aongezewe muda wa utawala huko Twitter na akikataa,Alazimishwe??Atakayefanikisha kukamatwa kwa "KIGOGO" atapewa donge nono..
Mimi na walevi wenzangu tutatoa donge nono kwa Atakayefanikisha kukamatwa kwa atayemkamatisha "KIGOGO"
...... KIGOGO apewe uraisi wa twira... Milele na milele hata akivunja katiba atajua mwenyewe...
Maza SSH piga spanaaaaaaaaa
Kwani kulikuwa na gawio? Ule ulikuwa usanii wa Meko tu, ili kuaminisha watu kuwa shirika la ndege lilikuwa linapata faida.Mkurugenzi wa shirika la ndege inabidi aseme lile gawio walilitoa wapi?
Wala nimetoa mawazo yangu tuu naona kama sisitimu ni ile ile tuuKwa hiyo imekutachi eeh..bila shaka kuna uwazi ulidhani utatokea ila mh. Rais kaonyesha yuko na spidi ile ile hujapenda...
Ngoja tuone kazi ya mama tusikosee kila jambo, kila mmoja ana mazuri yake ba mapungufu yake, huwezi kuwa [emoji817] mkamilifuJPM hakuwa mzalendo alipandikiza watu wake kwenye sekta nyeti tusingeweza kujua uozo kama huu
KUNA KUKAA NA KUJADILI na kuna kukaa na kuambiwa cha kufanyaDa hoja ya kitoto kweli. Ulishawahi kujiuliza anapokaa Rais, Makamu wake na Waziri mkuu huwa wanajadili nini!?????
Unalotakiwa kujua ni kwamba serikali sio mtu ni taasisi. Na afanyalo rais ni matokeo ya kazi ya wasaidizi wake.
Issue ya huyu kakoko imeanza kushighulikiwa kilichokua kikisubiriwa ni report ili atumbuliwe
UFISADI: Waziri Mkuu amsimamisha Mhazini wa TPA na wengine. CAG aagizwa kufanya ukaguzi haraka
Leo tarehe 27/12/2020 Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa Ruangwa amefika katika bandari ya Dar es Salaam More to follow ===== WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za Dar es Salaam, Mwanza...www.jamiiforums.com
Timu Jiwe amani imetoweka mpaka PM kujiamini kumekwisha!Kulikoni wamechill kwa wasi wasi kiasi hiki. View attachment 1736521
Hamna namna, ni ile ile ila ndio nafuu zaidi. Upinzani wa hapa tz uko ndani ya sisiemu..sio nje!Wala nimetoa mawazo yangu tuu naona kama sisitimu ni ile ile tuu
Kwani dhambi kukosea mkuuNawe umekosea, ni Ports hukumalizia S kwenye Port. Kwa hiyo ni Tanzania Ports Authority.
Kwa hiyo wewe unafurahia watu wasiolipa kodi? Si yalitakiwa kulipiwa kodi au kodi inalipwa kwa watu maalumu tuu.Makontena yaliruhusiwa kwa mbinde Sana Tena unaambiwa mama alienda mpaka ikulu kuonana na mzee mzee akagoma
Al asaad wa watu aliposimamia ukweliRipoti ya CAG 2020/2021 iliyo tolewa leo mbele ya Mhe. Rais imebainisha kuwa na ubadhirifu wa kutisha mpaka kulazimika kumsimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Bandari.
Bandari kuna mdudu gani hapo asiye kufa!?!
Takukuru na vyombo vingine pamoja na FIU wanao wajibu wa kusafisha ubadhirifu huu unao jitokeza hapo bandarini, inaonekena kila mfanyakazi hapo Bandari ni Mpigaji.
Mm sitaki kufikiri hayo boss. Ishu hapa ni ripoti ya CAG na ubadhilifu. Kigogo yeye ni mwandishi uchwara wa habari. Huwa anapatia na kukosea.Unafikir habar alikua anapewa na Nan
Wanaita hela ya kiwiKakoko alikuwa fisadi ambae ni UNTOUCHABLE.
Tunashukuru Mama kwa kulitumbua hilo jamaa.
Kigogo anawahenyesha sana majamaa... Wala wasihangaike kumkamata ili aendelee kutupa info....Means what,kigogo aongezewe muda wa utawala huko Twitter na akikataa,Alazimishwe??
ATCL Faida imeleta faidaaaaaaaaa,wanyonge pigeni makofi tafadhaaaaaaali.Simlikuwa mnasema kuwa huyu CAG ameletwa hapo na Magufuri ili afiche madhaifu ya serikali, sasahivi anafichua madhaifu mnaanza Magufuri asingeliwatumbua, kwani Samia amejifunzia wapi kutumbua?huyo mkuu wa TPA alikuwa analiwa taming tu maana Muasibu wake mkuu Alisha simamishwa kitambo na Majariwa na kuagiza uchunguzi wa ubadhirifu ufanyike na lipoti itolewe,sasa kuna jipya gani hapo wakati watu tulikuwa tunasubiri lipoti ya Majariwa?
KUNA KUKAA NA KUJADILI na kuna kukaa na kuambiwa cha kufanya