Rais kaongea lini na saa ngapi? Kigogo alitweet lini? Tumia akili yako wakati mwingine!kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Weka post yake hapa na muda aliopost alafu uone hotuba imeisha saa ngapiHujui ulisemalo. Pole mkuu
Issue sio ripoti imeandaliwa lini bali kilichoandaliwa kusomwa bungeni bila filtering! Kaa ukifahamu Rais ana mamlaka ya kukaa na ripoti up to 7 days kabla haijapeleka bungeni! So, the question is: hizo siku 7 mtu hawezi kuamuru kufanyika kwa amendment ya baadhi ya mambo?Wewe kweli ni mshamba,unafikiri lipoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuri?
Wanafiki walikutana.Kwa nchi hii hata ufanye reflection ya miaka, ngumu kuongoza. Approach yake ilikuwa na mapungufu mengi, Ila hii ya kusubiri michakato ndio mbaya zaidi. Wabongo ni watu hatari sana, kuongoza watu waliojawa unafiki lazima uangukie pua tu.
Wanasema eti ni "UNTOUCHABLE"
Tafuta maarifa ndugu, sio kila jambo ujifanye unajua.....kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Ni sawa, ila hasa alijuaje kwamba Mkurugenzi ataondolewa au usiku huo waliazimia hatua za kuchukua?Kunakuwa na summary ambayo inaelezea mambo muhimu anapewa. Yale ma-book yote ni mengi kwa rais kusoma mwenyewe. Anakuwa na wasaidizi wengi ambao ndiyo wataipitia kwa undani.
Huyo madelu uwaziri asahau yani yeye Kabudi, Bashiru, Dk Gwajima, Bashungwa, waziri wa maliasili wote tupa kuleKulikoni wamechill kwa wasi wasi kiasi hiki. View attachment 1736521
Unazungumzia kutumbua hawa middle rank civil servants?!Mbona Magu alikuwa anateuwa na kutumbua wasipotekeleza wajibu!!? au hili swala umelisahau.....kwa ufupi wa fikra zako
Mama D, ulitaka Rais Samia asemeje akiwa pembeni ya jeneza la marehemu?Kama Rais Samia Suluhu Hassan alikiri kufundishwa na kumudu kazi zake zote kama makamu wa JPM na hadi kwenye maombolezo akaendelea kukiri kwamba JPM alikua kaka na mwalimu wake kwenye kazi...
Wewe ni nani nikusikilize unaposema ilikua one man show
Jikalieni kimya hapo kwenye foleni huku mkisubiri sindano za mama ziwaingie
Mimi mwenyewe mmoja nataka kuwa millionsHuyu kigogo
Huyu kigogo asipodhibitiwa haraka ni hatari Sana,naona jamii inaziamini taarifa zake kwa kasi kuliko serikali,kibaya zaidi anazitoa kabla ya mamlaka husika,polisi wametangaza donge nono kwa atakayempata, changamkieni fursa huenda ukaibuka millionaire
TrueKigogo yupo Ikulu.
Tunasumbuana tu.
Chief, niweke tena post wakati wewe ndio umetoa statement ya kuwa kapost baada ya hotuba maana yake ni kuwa wewe una uhakika pasina shaka kuwa uko sahihi? Wewe ndio ulipaswa kuweka kuthibitisha madai yako. Pole tena mkuuweka post yake hapa na mda aliopost alafu uone hotuba imeisha saa ngapi
Mkuu Richard, systems zipo za kurahisisha yote hayo. Ni za kununua tu. Tatizo ni hilo unalolisema, uongozi wa mamlaka haitaki kuzinunua kwa kuwa "paperwork" inalipa. Mfano mdogo ni zile flow meter za mafuta. Zinatumika leo kesho zinafungwa. Hakuna haja ya mwanajeshi. Ni kuilazimisha TPA iondokane kabisa ya "paperwork ".TPA inahitaji kuendeshwa kijeshi mpaka inakapoweza kujitambua.
Kakoko asingeweza kudhibiti ubadhilifu, hujuma na wizi bandarini na ni mwepesi sana.
Kuna mtu amemtaja marehemu mzee Janguo lakini yule nae hakuweza kuthibiti TPA basi aliweza kusawazisha kulingana na serikali zilizokuwepo wakti ule.
Nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimewahi kufanya kazi ya utoaji mizigo bandarini na naelewa matatizo haya yanoikumba TPA.
Mama Samia mteue mwanajeshi mwenye shahada ya uendeshaji asimamie shirika hili ambalo ni moja ya njia kuu ya mapato Tanzania.
Pili, serikali ikubali igharamie teknolojia katika bandari zetu na iondokane na paperwork. Pia kuwepo idara maalum ya ku-monitor kila tukio kuanzia meli inapotia nanga hadi mizigo inapokuwa "cleared".
Hali hiyo iwe pia kwenye uingizaji mafuta kule TIPPER.
Paperwork ni moja ya njia kuu za ubadhilifu kwenye bandari zetu ikiwemo bandari ya Daesaama.
Kigogo amecoment before rais hajafanya maamuzi leo. labda ww ndio hukufuatilia.kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Nadhani ningeiweka kitaalam sana. Huwa sipendi kuongelea wakati wa Nyerere ilikua nyakati tofauti sana, uzalendo wa Nyerere una namna yake manaake alilelewa na wakoloni, kakulia kasomeshwa na akapambana kwa namba yake na pia nchi ndio ilikua inazaliwa. Akaisuka na kuunda taasisi. Fore fathers sio wa kuwaweka kundi moja na hawa ambao wamekuja nchi inajitambua kabisa.Mie naamini Mwl Nyerere alikuwa zaidi yake