Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Wewe kweli ni mshamba,unafikiri lipoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuri?
Issue sio ripoti imeandaliwa lini bali kilichoandaliwa kusomwa bungeni bila filtering! Kaa ukifahamu Rais ana mamlaka ya kukaa na ripoti up to 7 days kabla haijapeleka bungeni! So, the question is: hizo siku 7 mtu hawezi kuamuru kufanyika kwa amendment ya baadhi ya mambo?
 
Kunakuwa na summary ambayo inaelezea mambo muhimu anapewa. Yale ma-book yote ni mengi kwa rais kusoma mwenyewe. Anakuwa na wasaidizi wengi ambao ndiyo wataipitia kwa undani.
Ni sawa, ila hasa alijuaje kwamba Mkurugenzi ataondolewa au usiku huo waliazimia hatua za kuchukua?
 
Kama Rais Samia Suluhu Hassan alikiri kufundishwa na kumudu kazi zake zote kama makamu wa JPM na hadi kwenye maombolezo akaendelea kukiri kwamba JPM alikua kaka na mwalimu wake kwenye kazi...

Wewe ni nani nikusikilize unaposema ilikua one man show



Jikalieni kimya hapo kwenye foleni huku mkisubiri sindano za mama ziwaingie
Mama D, ulitaka Rais Samia asemeje akiwa pembeni ya jeneza la marehemu?
Wamevumilia mengi hujui tu. Hata wewe ukifa nikipata nafasi ya kutoa salamu zangu za rambirambi nitakusifu kinafiki, kwamba ulikuwa mwalimu mzuri sana huku JF, yaani tutakumiss sana na mengine mengi ambayo utakuwa hata uyasikii yakisemwa leo, lakini yatasemwa pembeni ya jeneza lako.
 
Huyu kigogo

Huyu kigogo asipodhibitiwa haraka ni hatari Sana,naona jamii inaziamini taarifa zake kwa kasi kuliko serikali,kibaya zaidi anazitoa kabla ya mamlaka husika,polisi wametangaza donge nono kwa atakayempata, changamkieni fursa huenda ukaibuka millionaire
Mimi mwenyewe mmoja nataka kuwa millions
 
Ukiangalia ziara ya Tanga, Kakonko hakuwa na adabu, aliulizwa jambo akajibu subiri ndio maelezo haya naendelea kukupa, binafsi sikufurahishwa, sasa ukichanganya na ofisi yake kupora 3.6b lazima akae pembeni!
 
TPA inahitaji kuendeshwa kijeshi mpaka inakapoweza kujitambua.

Kakoko asingeweza kudhibiti ubadhilifu, hujuma na wizi bandarini na ni mwepesi sana.

Kuna mtu amemtaja marehemu mzee Janguo lakini yule nae hakuweza kuthibiti TPA basi aliweza kusawazisha kulingana na serikali zilizokuwepo wakti ule.

Nasema hivi kwasababu mimi binafsi nimewahi kufanya kazi ya utoaji mizigo bandarini na naelewa matatizo haya yanoikumba TPA.

Mama Samia mteue mwanajeshi mwenye shahada ya uendeshaji asimamie shirika hili ambalo ni moja ya njia kuu ya mapato Tanzania.

Pili, serikali ikubali igharamie teknolojia katika bandari zetu na iondokane na paperwork. Pia kuwepo idara maalum ya ku-monitor kila tukio kuanzia meli inapotia nanga hadi mizigo inapokuwa "cleared".

Hali hiyo iwe pia kwenye uingizaji mafuta kule TIPPER.

Paperwork ni moja ya njia kuu za ubadhilifu kwenye bandari zetu ikiwemo bandari ya Daesaama.
Mkuu Richard, systems zipo za kurahisisha yote hayo. Ni za kununua tu. Tatizo ni hilo unalolisema, uongozi wa mamlaka haitaki kuzinunua kwa kuwa "paperwork" inalipa. Mfano mdogo ni zile flow meter za mafuta. Zinatumika leo kesho zinafungwa. Hakuna haja ya mwanajeshi. Ni kuilazimisha TPA iondokane kabisa ya "paperwork ".
 
Kwani alisemaje Kigogo

Alisema hivi--
TPA.png
 
Mie naamini Mwl Nyerere alikuwa zaidi yake
Nadhani ningeiweka kitaalam sana. Huwa sipendi kuongelea wakati wa Nyerere ilikua nyakati tofauti sana, uzalendo wa Nyerere una namna yake manaake alilelewa na wakoloni, kakulia kasomeshwa na akapambana kwa namba yake na pia nchi ndio ilikua inazaliwa. Akaisuka na kuunda taasisi. Fore fathers sio wa kuwaweka kundi moja na hawa ambao wamekuja nchi inajitambua kabisa.

Ndo maana JKN huwa sipendi kumuongelea na Rais yoyote yule. Yule yuko kwenye league of his own. Yule alinganishwe na kina Kwame, Kaunda na kina George Washington
 
Back
Top Bottom