Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Usisubiri mtu afe, mwambie akiwa hai na urudie kama atakua ameondoka kabla yako kama alivyofanya Samia Suluhu Hassan

Sawa,ila inategemea na mtu mwenyewe,

Hayati alikuwa yeye ndo yeye,he knows it all,ukimwambia ukweli ugomvi wake unakuwa ni wa mayai viza akibadilisha masalo,that's why watu walipiga kimya and praying mungu ampende zaid,and guess what mungu kapokea maombi,they are not celebrating his death,but instead they are celebrating may be the destiny will be prosperous
 
Bravo Mama yetu mpenzi. Yani hatuna mashaka na wewe kabisa katika utendaji na busara zako. Mungu amejua kutuona Watanzania.
 
Rais mama SAMIA amtumbua mkurugenzi wa Bandari achunguzwe haraka.... Mbona hakuna barua kutoka kurugenzi ya mawasiliano ikulu? Kama ilivyokuwa ukifanyika kipindi cha Magufuli?
 
Kama vile Mfungale alikuwa ana jenga madaraja Bure
 
Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo

Mzalendo wa wapi? Usanii tu. Na leo hii report isingepewa uwazi hivi maana ni aibu kwake. Bado angeendelea kusema tumeibiwa sana, tumechezewa sana, tena kwa ukali -huku kidevu juu?? Kama vile hizi hela zimepotea wakati wa awamu za nyuma, wakati hapa inaongelewa wakati wake! Kila siku yeye alikuwa analaumu wenzie tu wa awamu zilizopita.
 
Eti Mara ooh, hili siyo Tena daraja la tazara ni daraja la Mfugale,

Mara ooh hili siyo ubungo flyover ni daraja la juu kijazi, ushamba ushamba tuh,

What's so special about Mfugale to us,zile ni pesa zetu walipa kodi,yarudishwe majina yake ya awali.
Mungu ana mipango yake pengine mkoa mpya wa chato ange pendekeza uitwe jina la Babu yake!
 
Kwa nini tunaonyesha kila dalili ya kufurahia jambo bila hata kuchukua muda kutafakari?
Amesimamishwa kazi na hajafukuzwa kazi.
Uchunguzi wa kina ufanyike!!
Kipi cha ku celebrate hapo?
Maskini watanzania!!
Maskini mwenyewe!
 
Umeeleza jambo la maana sana, kwa watakaokuelewa. Matundu ya kuvujisha habari huko serikalini yasipozibwa ni hatari kwa taifa.
 
Eti Mara ooh, hili siyo Tena daraja la tazara ni daraja la Mfugale,

Mara ooh hili siyo ubungo flyover ni daraja la juu kijazi, ushamba ushamba tuh,

What's so special about Mfugale to us,zile ni pesa zetu walipa kodi,yarudishwe majina yake ya awali.

Yani Magu bwana. Alijua kutuburuza aisee. Mambo ya hovyo hovyo tu.
 
Hujiuliz why Dg katumbuliwa baada ya Rais kusomewa Ripot na kutambua kua Dg hafai Kuna madudu Wakat before kigogo amesha jua inamaana kigogo alijua before kua fulan analiwa kichwa on time
Daah [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…