Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Makaburi yanaanza kufufuka.....bado zile terrible teens a.k.a Dream liner nazo tunapaswa kujua zilinunuliwa kwa bei gani?
 
Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.

Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
 
Kwani ujumbe hukaupata au una lako na msigwa?
 
..Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.

..Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
awekwe nani?
 
MATAGA kama wamepigwa GANZI hivi yaani hawaamini kabisa kama JIWE ameenda kwahiyo hawajui wafanye nini.
 
Kwa hiyo wewe unapingana na tamko la rais wa JMT?
 
Huyu nae ni tatizo. Natamani kumuona Babie Kabae au Farhia wakifanya hii kazi. Msigwa ni wale wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…