Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Makaburi yanaanza kufufuka.....bado zile terrible teens a.k.a Dream liner nazo tunapaswa kujua zilinunuliwa kwa bei gani?
 
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Kwani ujumbe hukaupata au una lako na msigwa?
 
Muache umbea jamani

FB_IMG_1616955654094.jpg

FB_IMG_1616955660522.jpg
 
..Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.

..Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
awekwe nani?
 
MATAGA kama wamepigwa GANZI hivi yaani hawaamini kabisa kama JIWE ameenda kwahiyo hawajui wafanye nini.
 
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Kwa hiyo wewe unapingana na tamko la rais wa JMT?
 
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Huyu nae ni tatizo. Natamani kumuona Babie Kabae au Farhia wakifanya hii kazi. Msigwa ni wale wale.
 
Back
Top Bottom