Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante yajayo yanafurahisha siyoMengi yanakuja...
Kwani ujumbe hukaupata au una lako na msigwa?Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
awekwe nani?..Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.
..Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
Kwa hiyo wewe unapingana na tamko la rais wa JMT?Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Huyu nae ni tatizo. Natamani kumuona Babie Kabae au Farhia wakifanya hii kazi. Msigwa ni wale wale.Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Awekwe Mtanzania mwenye weledi kama watangulizi waliopata kuhudumu ktk nafasi ya mwandishi wa habari wa raisi.awekwe nani?