King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
kwanini yupo deep hivi?
Vita dhidi ya ufisadi iendane sambamba na vita dhidi ya umasikini. Tusiendelee kushangilia wanaotumbuliwa mwisho wa siku GDP , per capital income vipo chini miaka nenda rudiRais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Mh.Suluhu H."Kama ukishindwa,sema tukusaidie" 😂😂😂Kampiga mkwara na Jaffo kule TAMISEMI! Safi mama tuko nyuma yako!
Mungu huwa haonei watu wake kwa kweli... Na alisha sema tukiwazacho sie binadamu si sawa na yeye alivyopanga au anavyowaza...Walitaka kuondoa ukomo wa raisikukaa madarakani, wakasahau kwamba hawawezi kuondoa ukoma wa maisha ya raisi.
Eti "atake asitake ni lazima......". Mungu akawauliza, mnasemaje?
Sahihi kabisa, Selemani aache uswahili! Kaambiwa kama atashindwa aseme asaidiwe!Jafo ajiangalie sana maana hata Magu alimwambia hadharani hakitaka kumrudisha ila ni kwa bahati tuu
Taasisi..Hatari aisee ,mimi anachonishangaza ni kwamba muda wote yupo hewani na hapumziki,yaani hata ukiamka saa tisa usiku utakuta dakika mbili kapost kitu,ukiamka saa 10 yumo,saa 11 yumo na mwndo huo huo 24/7,kama hana spana basi anashabikia mpira tu na ni mwendo huo huo tangia mwezi wa nane.
Kwamba kuna vibaka ambavyo makomeo alikuwa anaviogopa au walikuwa wanamshirikisha wizi wao?!Kakoko alikuwa fisadi ambae ni UNTOUCHABLE.
Tunashukuru Mama kwa kulitumbua hilo jamaa.
Mkuu umewaza sana. Kigogo kumbe walipo "yupo". Mataga wajitafakari juu ya vinywa vyao.Kigogo yupo Ikulu.
Tunasumbuana tu.
Wanafiki washangilia, kweli babaaaaa!!Wateuliwa wa jiwe! Acha bakora zianze sasa kutesa kwa zamu!
Wapinzani walituchelewesha sana , au nasema uongo ndugu zangu?
Dah mkuu Ulipoteaga wapi mkuu wangu. Yani nikikumbukaga lile group lenu la upande wa pili mlikuwa mnaingiza makontena bandarini bila kulipia ushuru na kutushambulia wagalatia Ritz @khataan na FaizaFoxyHongera Sana Mh RAIS Mama SAMIA,Simama katika haki na usawa bila upendeleo,chapa kaz weka kandi zile mambo za ukabila,udini na ukanda,
Watakaoleta HOJA ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI waogope Kama corona na ikibid wapimwe corona kwa kipimo hiki Cha njia ya nyuma Kama nyuma,
Aksante.
Alisemaje?hii kitu kigogo alisema jana! hivi huyu kigogo ni nani jamani
tpa kuna fuka moshi na kuna mtu atatimuliwaAlisemaje?
Alikuwa mzalendo. Hili sina ubishi nalo. Ila alikuwa mzalendo asiye na clue afanye nini kuipeleka Tanzania mbele. Alikuwa na udhaifu mwingi ambao watu waliutumia kupiga. Alikuwa hajui kuteua watu wazuri kwani alikuwa anapofushwa na kupenda kuabudiwa na chuki yake kwa baadhi ya watu.Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Wale timu njaa wako wapi leo ndio leo na bado wote mtataga maboga,awamu ya meko ilikua imejaa vibaka tupu yani miaka 5 yake tumepigwa kuliko miaka 20 ya mkapa na jk....fukuza mkurugenzi wa ATCL,TTC,TANROAD,kalemani wote hawa ni vinaka wenzie na meko.Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Ndiooo. Hakuna hakuna haja ya kufoka. Unadhani Jafo hajaelewa?Hapa kwa Jafo kaongea vizuri sana. Maana amemwambia ukishindwa tuambie tukusaidie.
Hiyo kukusaidia ina maana kubwa kweli. Aidha uondolewe au uelekezwe nini cha kufanya.
Huyu jamaa aisee, heshima yake. Kalisema hili mapema saaaana yaani..Shikamoo Kigogo