Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

kwanini yupo deep hivi?

Hatari aisee ,mimi anachonishangaza ni kwamba muda wote yupo hewani na hapumziki,yaani hata ukiamka saa tisa usiku utakuta dakika mbili kapost kitu, ukiamka saa 10 yumo,saa 11 yumo na mwndo huo huo 24/7,kama hana spana basi anashabikia mpira tu na ni mwendo huo huo tangia mwezi wa nane mwaka jana baada ya mapumziko ya miezi miwili (June-August).
 
Inner core wako wengi Sana kwa mfano wale walionunua mashangingi ya mil.400 wako kibao akiwaacha kea vile ni watu wake
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Vita dhidi ya ufisadi iendane sambamba na vita dhidi ya umasikini. Tusiendelee kushangilia wanaotumbuliwa mwisho wa siku GDP , per capital income vipo chini miaka nenda rudi
 
Walitaka kuondoa ukomo wa raisikukaa madarakani, wakasahau kwamba hawawezi kuondoa ukoma wa maisha ya raisi.
Eti "atake asitake ni lazima......". Mungu akawauliza, mnasemaje?
Mungu huwa haonei watu wake kwa kweli... Na alisha sema tukiwazacho sie binadamu si sawa na yeye alivyopanga au anavyowaza...

God is Great Forever
 
Hatari aisee ,mimi anachonishangaza ni kwamba muda wote yupo hewani na hapumziki,yaani hata ukiamka saa tisa usiku utakuta dakika mbili kapost kitu,ukiamka saa 10 yumo,saa 11 yumo na mwndo huo huo 24/7,kama hana spana basi anashabikia mpira tu na ni mwendo huo huo tangia mwezi wa nane.
Taasisi..
Kikundi Cha watu...

iPhone ..iPad.. Mac
Twitter for...
 
Hongera Sana Mh RAIS Mama SAMIA,Simama katika haki na usawa bila upendeleo,chapa kaz weka kandi zile mambo za ukabila,udini na ukanda,

Watakaoleta HOJA ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI waogope Kama corona na ikibid wapimwe corona kwa kipimo hiki Cha njia ya nyuma Kama nyuma,

Aksante.
Dah mkuu Ulipoteaga wapi mkuu wangu. Yani nikikumbukaga lile group lenu la upande wa pili mlikuwa mnaingiza makontena bandarini bila kulipia ushuru na kutushambulia wagalatia Ritz @khataan na FaizaFoxy
 
Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Alikuwa mzalendo. Hili sina ubishi nalo. Ila alikuwa mzalendo asiye na clue afanye nini kuipeleka Tanzania mbele. Alikuwa na udhaifu mwingi ambao watu waliutumia kupiga. Alikuwa hajui kuteua watu wazuri kwani alikuwa anapofushwa na kupenda kuabudiwa na chuki yake kwa baadhi ya watu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Wale timu njaa wako wapi leo ndio leo na bado wote mtataga maboga,awamu ya meko ilikua imejaa vibaka tupu yani miaka 5 yake tumepigwa kuliko miaka 20 ya mkapa na jk....fukuza mkurugenzi wa ATCL,TTC,TANROAD,kalemani wote hawa ni vinaka wenzie na meko.
Salaam ziwafikie vibaka troll,motochini,kawe alumni,magu 2016,mama D na wenzao wote,pumbafu kabisa
 
Hapa kwa Jafo kaongea vizuri sana. Maana amemwambia ukishindwa tuambie tukusaidie.
Hiyo kukusaidia ina maana kubwa kweli. Aidha uondolewe au uelekezwe nini cha kufanya.
Ndiooo. Hakuna hakuna haja ya kufoka. Unadhani Jafo hajaelewa?
 
Back
Top Bottom