Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kigogo kafanyaje tena?Shikamoo Kigogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo kafanyaje tena?Shikamoo Kigogo
Mmhh huyu madam president anachapa vibaya...Hapa kwa Jafo kaongea vizuri sana. Maana amemwambia ukishindwa tuambie tukusaidie.
Hiyo kukusaidia ina maana kubwa kweli. Aidha uondolewe au uelekezwe nini cha kufanya.
Hahaa MATAGA kama wamepigwa shoti hawaamini kabisa yanayoendelea...ATCL spana,TPA Spana tu.Kwani MATAGA wanasemaje kuhusu hilo
Tanzania People's PowerTPA kirefu chake ni nini?
Ripoti ya CAG 2020/2021 iliyo tolewa leo mbele ya Mhe. Rais imebainisha kuwa na ubadhirifu wa kutisha mpaka kulazimika kumsimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Bandari.
Bandari kuna mdudu gani hapo asiye kufa!?!
Takukuru na vyombo vingine pamoja na FIU wanao wajibu wa kusafisha ubadhirifu huu unao jitokeza hapo bandarini, inaonekena kila mfanyakazi hapo Bandari ni Mpigaji.
AISEE uyu jamaa utadhani jiniKigogo yupo Ikulu.
Tunasumbuana tu.
ThubutuuuIngekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Kumbe mzee baba kuna watu wakiiba alikuwa anageuza shingo!Mzee alikua anawafuga hawa watu wake.
Ina maana JPM hajawahi kutumbua yoyote aliyemteua?Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Kigogo na Chahali wapewe kombe kuanzia Magu alipougua mpaka sasa. Most of theirs tweets are relible. Ona hii ni Chahali ali-tweet juzi ileeeeee.Alisemaje???
Ncha ya barafu iyoo ukiikalia na lile joto la tigo linayeyukaHiyo wanasema ni "tip of iceberg".
Yajayo......!!!!
Aya sasa ajipangeJaffo alichokuwa anajua ni kujipendekeza kwa jiwe tu! Ila hata jiwe wakati anatangaza baraza la mawaziri alionesha kutoridhishwa sana na TAMISEMI ya Jaffo
Mwendazake kawaachia msala!!Mfugale naye ajiandae mda s mrefu mambo yataiva kwa mujibu watu wa kijani
Tutamuona kwenye ripoti ya January-marchBado Dotto James
SubutuuuIngekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Ametamka toka asubuhi kabla hata ya mkutano 😂😂😂Kigogo kafanyaje tena?