Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za mzee hata hiyo hasara ingetajwa?Kwa nini tunaonyesha kila dalili ya kufurahia jambo bila hata kuchukua muda kutafakari?
Amesimamishwa kazi na hajafukuzwa kazi.
Uchunguzi wa kina ufanyike!!
Kipi cha ku celebrate hapo?
Maskini watanzania!!
Kwa namna ninavyoelewa, hata hao wote ulio wataja, hamna kitu watafanya wakifika hapo TPA!!niamini,uwizi upo kwenye DNA za waafrica ngozi nyeusi!! Kwani walioko Tiss,Takukuru, IFU,Polisi n.k wanatofauti gani na walioko hapo TPA?!! Wote ni wale wale ata hao uliowataja wakichunguzwa uko kwenye taasisi zao hutaamini madudu yatakayo kutwa!!ngozi nyeusi tunaamini kuiba kwenye taasisi za umma ni ushujaa!!Meko amepeleka miradi mikubwa kwao Chato kinyume cha taratibu (wizi) watu wa kwao wanamuona ni shujaa!! hizo ndio akili zetu ngozi nyeusi,ripoti ya CAG inaonyesha kuna ubadhirifu mkubwa hapo TPA,DG anasimamishwa,watu wanashangilia!! Rais anaogopa kumpeleka jela,mtu kama uyo hastaili kuwa uraiani kwa sasa,pahala panapo mstahili ni ukonga, au gereza la kilimo kitengule uko akajifunze kula kwa jasho halali,unamsimamisha nini wakati ripoti ya wataalamu inaonyesha katafuna pesa ya umma?!!au CAG haaminiki?!!ingekuwa uwezo wangu viongozi wote wa TPA wachunguzwe, kuanzia vipato vyao binafsi, miradi yao, mali zao zote pamoja na majengo wanayo miliki.
inaonekana wafanyakazi wote wa TPA ni wachafu kunuka, wachunguzwe na mali zao zishikiliwe.
hapo TPA hakuna msafi, TAKUKUTU, FIU, POLISI na TISS tafadhali fuatilieni TPA, imekuwa mfupa huo.
Wewe kweli ni mshamba,unafikiri lipoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuri?Mkuu nani angethubutu kusema? Hiyo hasara ya ATCL yenyewe imesemwa leo kwa sababu Meko yuko chini ya ardhi, miaka 5 mfulilizo hakuna faida na tulidanganywa kwamba ATCL inaingiza faida kubwa.
Sana, tena sana ukijifanya wewe unajua kila kitu.Kuongoza hii nchi ni kazi sana!
Karibu sana kwani breaking news zote zinaanzia huko kwa shemasiDuuh huko twitter kigogo anazidi kujizolea umaarufu. Ngoja nijiunge twitter
nadhani hujasoma post ukamuelewaKigogo kajuaje nini...mbona hueleweki..kasemaje,?
Nimekuogopa sana wewe NtuKawaida tu mkuu
same way alivyoyajua mengine. inside connection man.Ukiangalia jinsi rais alivyomsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TPA ni uamuzi aliouchukua hapohapo baada ya kusomewa ripoti na CAG,sasa huyu kigogo alijuaje???..au kulikuwa na mipango ya mkurugenzi kutimuliwa kabla ya ripoti kusomwa??..huenda huyu kigogo anafanya kazi vizuri kabisa na serikali,baadhi ya viongozi wakubwa serikalini bila mzee pombe kujua..yaani rais alikuwa anazungukwa na wateuwa wake kwa maslahi Fulani!..
hii theory yako ina kitu ndani.Kuna watu wanachukizwa na uozo serikalini ndiyo wanaompa taarifa kigogo
Yaani Wewe umelala hapo kwenye sofa ya mume wa dada yako alafu unasema kawaidaKawaida tu mkuu
Ripoti ya 2019/2020 lakini wanavyopiga kelele..!!Wewe kweli ni mshamba,unafikiri lipoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuri?
Mfumo namaanisha unafanyika uchunguzi kwanza kisha mapendekezo halafu maamuzi.Mfumo gani mama katengeneza?
Taarifa nyingi anazotoa ni za kwelihii theory yako ina kitu ndani.
Na sijui anajuaje maana ripoti yenyewe Mama kaisoma usiku wa leoHuwa anatoa vitu vina ukweli sana, nahisi huwa hatoi taarifa bila kuijua kiundani