Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Huyu kigogo

Huyu kigogo asipodhibitiwa haraka ni hatari Sana,naona jamii inaziamini taarifa zake kwa kasi kuliko serikali,kibaya zaidi anazitoa kabla ya mamlaka husika,polisi wametangaza donge nono kwa atakayempata, changamkieni fursa huenda ukaibuka millionaire
Njia pekee ya kudhibiti ni serikali kuufutulia mbali muswada wa vyombo vya habari na habari..kutoa uhuru kwa wananchi na vyombo vya habari kuikosoa serikali..kupunguza mabavu..na kutenda haki pamoja na kuacha wizi..embu jiulize ni kwa nn kipindi cha jk hawa kina kigogo na mange hawakuwepo..ni kwa sababu vyombo vya habari vilikuwa huru.na wanasiasa walikuwa huru..so wapashaji walikuwa wanapeleka taarifa zao kule na zinafika kwa jamii..now days hakuna aliye huru zaidi ya kigogo..so madudu inabidi wayaripoti kwa njia ya kigogo na wengineo..watoa taarifa ni miongoni mwa watu wa ndani kabisa serikali...naamini upashanaji wao wa habari ni wa network structure..Wana team kubwa sanaaa..na ndio maana KILA kona yupo..
 
Wewe ulifatilia hotuba ya Magufuri wakati anazindua bunge la2020? Kama ukufatilia nenda YouTube usikilize maneno yake, Tanzania ilipokuwa imefikia usiliweza kumaliza ubadhirifu kwa miaka mutano,hata hivo Magufuri alijitaidi sana pamoja na makerere yote mliokuwa mkipiga.
Kajitahidi kitu gani zaid zaid ya upigaji ambao tulikuwa hatuujui kwa sababu ya kuminya freedom of press na democracy kwa ujumla?

Wote mlikuwa praise team, mtu akikosoa tuh u send him or her to the cemetery, sasa hayupo ngoja tuone uozo unavyochipua Kama uyoga vileee
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya

“Ripoti nimeona, nimeipitia na nimebaini ubadhirifu mkubwa uliofanywa pale bandari, hili suala mnatakiwa kushirikiana, nakuomba Takukuru jishughulishe pale, alipita Waziri Mkuu alilishughulikia.

“Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”
RAIS HONGERA SANA.
Tukiwa katikati ya maombolezo mtu anaongezewa maombolezo. Bado Dotto James anatakiwa aondoke kabla mama hajapoa.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Injinia Deusdedit Kakoko kupisha uchunguzi "Kuna ubadhirifu mkubwa Bandarini naomba TAKUKURU ikafanye kazi, nimeletewa ripoti ya ubadhirifu wa Bilioni 3.6.

maxresdefault.jpg


Imani yangu ni kwamba ndani ya Shirika la Bandari kuna ubadhirifu kama wa Tsh. Bilioni 3.6 lakini Waziri Mkuu amefanya ukaguzi na waliosimamishwa ni wa chini, nimeomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu uchunguzi uendelee" --- Rais Samia Suluhu.
 
Hofu yangu je?watamwacha?naona kama kiti mda si mrwfu atakiona kichungu.
Naonba niishie hapo
 
Simamisha na fukuza kabisa ikibidi...
Wasikuone mwanamke wakataka kukuzoea...
Waganga njaa bado wapo wengi... Furumisha wote!
 
Mama D, ulitaka Rais Samia asemeje akiwa pembeni ya jeneza la marehemu?
Wamevumilia mengi hujui tu. Hata wewe ukifa nikipata nafasi ya kutoa salamu zangu za rambirambi nitakusifu kinafiki, kwamba ulikuwa mwalimu mzuri sana huku JF, yaani tutakumiss sana na mengine mengi ambayo utakuwa hata uyasikii yakisemwa leo, lakini yatasemwa pembeni ya jeneza lako.
Usisubiri mtu afe, mwambie akiwa hai na urudie kama atakua ameondoka kabla yako kama alivyofanya Samia Suluhu Hassan
 
TBC radio kipindi cha tumasalamu.

Mtangazaji: Mama unaitwa nani?
Mama: naitwa Samia Suluhu Hassan
Mtangazaji: Unafanya kazi gani?
Mama: Nimeajiriwa kama raisi wa JMT
Mtangazaji: haya mh raisi tuma salamu.
Mama: napenda kutuma salamu kwa wafanyakazi wote serikalini moto ni ule ule.
 
Eti Mara ooh,hili siyo Tena daraja la tazara ni daraja la Mfugale,

Mara ooh hili siyo ubungo flyover ni daraja la juu kijazi,ushamba ushamba tuh,

What's so special about Mfugale to us,zile ni pesa zetu walipa kodi,yarudishwe majina yake ya awali.
Kabisa mkuu, daraja la Ruvu linaitwa Ruvu, daraja la wami linaitwa Wami, Ubungo bus Terminal inaitwa hivyo, Msamvu ni msamvu Terminal.

Ukiangalia design wa hayo makitu hata hajafanya Mfugale, labda yeye ndiye financier hakuna.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya

“Ripoti nimeona, nimeipitia na nimebaini ubadhirifu mkubwa uliofanywa pale bandari, hili suala mnatakiwa kushirikiana, nakuomba Takukuru jishughulishe pale, alipita Waziri Mkuu alilishughulikia.

“Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”
Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Huyu ni hatari kwa usalama wa nchi, haiwezekani habari confidential ya nchi mtu wa pembeni anaipata within seconds, sio jambo la kufurahia japo najua wabongo kwa ujumla wetu tunapenda ubuyu. Binafsi sipendi, raisi anaandika kinote then within seconds kigogo ameipublish huko twitani, sio sawa hata kidogo...
Nchi ya wajinga hii..wao ni kufurahia tu..hawajui huyo kigogo ni syndicate na hao watu ni hatari. Hamna cha maana anachofanya kigogo zaidi ya kuonyesha nchi haiko sawa mahari. Yani habari aitoe kigogo kabla ya Rais na watu wanachekelea? Hii kitu imenifanya kufikiri sana. Hichi kikundi sio kabisa..sio wazalendo ni watu wanaotaka nchi iende holela.
 
Where is collective responsibility
Kwangu mie inshu si kutumbua
Je hyo hasara itakuwa vp avoidable in near future yasije jitokeza mengine
 
Back
Top Bottom