Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Ripoti ya CAG 2020/2021 iliyo tolewa leo mbele ya Mhe. Rais imebainisha kuwa na ubadhirifu wa kutisha mpaka kulazimika kumsimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Bandari.

Bandari kuna mdudu gani hapo asiye kufa!?!

Takukuru na vyombo vingine pamoja na FIU wanao wajibu wa kusafisha ubadhirifu huu unao jitokeza hapo bandarini, inaonekena kila mfanyakazi hapo Bandari ni Mpigaji.
Bandari hapatakuja kutulia kwa sababu watu wanatoa maagizo badala ya mikakati.
Utawala wa tano ulijikita sana kwenye maagizo na tumbuatumbua bila kuweka mikakati ya kumaliza tatizo , hii ilisababisha kila wakiondoka sehemu , matatizo yanarudi pale pale
 
Jiongeze kidogoooooo usiruhusu chuki zikutoe ufahamu.
Serikali ni taasisi na Utumbuaji hauna mwisho lakini uhai watendaji una mwisho
Waziri mkuu alitoa maagizo uchunguzi wa bandari December 2020 na haya ndio matokeo
Hakuna chuki hapo bali ukweli umetamalaki mwendazake alikuwa mwasisi wa chuki nchini sasa wamekuja wengine tulia uone nchi inavyoendeshwa,nchi siyo ya kabila fulani,nchi siyo ya chama fulani,nchi siyo ya mtu fulani,nchi siyo ya eneo fulani.
 
Jiongeze kidogoooooo usiruhusu chuki zikutoe ufahamu.
Serikali ni taasisi na Utumbuaji hauna mwisho lakini uhai watendaji una mwisho
Waziri mkuu alitoa maagizo uchunguzi wa bandari December 2020 na haya ndio matokeo
Subiri utatetea mengi, mbona huu ni mwanzo tu
 
Kigogo!kigogo
kigogo,vigogo,hii ni taasisi inayofanya kazi kwa siri,ni taasisi ambayo ina connection na mjengoni kwa siri.ila nia ya hii taasisi ya vigogo kwa haraka haraka unaweza kusema ni njema,bt deeply wako after something.mama Samia anatakiwa a reform taasisi ya urais,ni aibu Mambo ya ikulu yanafahamika kirahisi hata kabla rais hajayafanyia kazi.Tiss inatakiwa itolewe yote iingizwe mpya kabisaaa.na Kama vipi idara ya TISS ivunjwe.waachiwe jwtz hiyo kazi.
 
Jaffo alichokuwa anajua ni kujipendekeza kwa jiwe tu! Ila hata jiwe wakati anatangaza baraza la mawaziri alionesha kutoridhishwa sana na TAMISEMI ya Jaffo
Hiki kituo tukiite kwa jina lake, hata kama hataki alazimishwe
 
Usipofanya mambo yako kama wewe ni muajiriwa wa bandarini basi sahahu kutoboa...hii ndio kauli mbiu sasa ni ukiwa bandarini kila mtu anatafuta chake...
Huko bandari hakuna pesa nje kwa kila muajiriwa labda wakuu wa idara, watu wanalia kukatwa masaa ya overtime wewe unasema wasahau kutoboa.
 
Alisemaje?
Screenshot_20210328-150444_Twitter.jpg
 
Mh.Majaliwa aliunda tume ya kuchunguza Bandarini (TPA) na kuishia kubaini wale wapigaji wadogo wadogo na kuwa report kwa waziri Mkuu, kumbe Kuna wakubwa aka untouchable Boss Kakoko na ni Kama tume ya Majaliwa ilimuogopa sasa mama Samia kabaini udhaifu wa ofisi ya Waziri Mkuu kwenye ufatiliaji.

Kwa taswira hii Mh. Kassimu Majaliwa mama Samia si wa mchezo mchezo anataka ujitathmin muda siyo mrefu atakupiga chini , mama anataka umsaidie kuyabaini madudu yote yanayofanyika kwenye taasisi za serikali. Kama tanroad, tbs, halmashuri Kuna upigaj Sana huko msaidie Jaffo kazidiwa na majukumu' na Ukiungana na mama Samia mtaifanyia makubwa nchi yetu na tutashuhudia maendeleo makubwa katika taifa letu Mana mtailinda hela ya mlipa Kodi na itatumuka vizuri. Mh.Majaliwa shtuka kumekucha.
 
Awamu iliyoishia katikati ilikuwa na watu wake ambao hawagusiki, Majaliwa hakuwa na namna ya kufanya hapo maana angeshtakiwa kwa mkubwa Jiwe, na huu inaonekana ni mwanzo tu, huo ukaguzi Mh. Rais alioamuru ufanyike na CAG wallah tutashika vichwa na kutoamini kwamba tulikuwa na Serikali hapo nyuma.
 
Bandari hapatakuja kutulia kwa sababu watu wanatoa maagizo badala ya mikakati.
Utawala wa tano ulijikita sana kwenye maagizo na tumbuatumbua bila kuweka mikakati ya kumaliza tatizo , hii ilisababisha kila wakiondoka sehemu , matatizo yanarudi pale pale
safari hii Bandari itasafishwa mpaka kuwe kweupeeee,
Rais Samia amesema hakuwa na subira ktk ubadhirifu na rushwa.
tutegemee matendo zaidi ktk kipindi chake.
 
Usipofanya mambo yako kama wewe ni muajiriwa wa bandarini basi sahahu kutoboa...hii ndio kauli mbiu sasa ni ukiwa bandarini kila mtu anatafuta chake...
Ngoja sasa Watobolewe, hapo TPA kuna wajuaji wengi sana ila wapigaji watupu, kuna mzee alikuwa mzungumzaji sanaaa akapewa kitengo hapo TPA.....ghafla akawa bubu!!!
dawa ya hapo ni kusafisha wote.
 
Back
Top Bottom