Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

Eti "atapata kura zote", kauli za namna hii hutolewa na watu wenye low IQ, walamba miguu, was wasubiri teuzi

Tuna safari ndefu kama tunataka tufike nchi tenye demokrasia walau kama hapo Kenya tu.

Wapi uliona mchezaji anateua refa, kamisaa, uwanja wa kuchezea, mpira halafu anapambanishwa na mwenzake, only in tz..nchi ya hovyo hii.
Katiba aliyotuachia Adam nae alikuwa mtu wa hovyo tu yote haya yanatokea kwa sababu yake
 
Hata Magufuli ilisemwa ameleta maendeleo sana hivyo atachukua kura nyingi, matokeo yake ndio tukashuhudia uchaguzi wa kihayawani kuliko wakati mwingine wowote.

Kwa bahati mbaya uchaguzi wa 2025 utakuwa na wapiga kura wachache sana, kwani kwa sasa box la kura limepuuzwa rasmi.

Hivyo mwambie mama wala asipoteze muda wake kupanga wizi wa kura uweje, kwani watu wengi hawatakuwa na muda na huo ushenzi uitwao uchaguzi. Machafuko tu ndio yatafanya tupate katiba bora.
Yaambie mapimbi yote!
 
Ccm hata wakiweka kibuyu au Jiwe,kitashinda tu,
Tume unaichagua wewe,mwenyekiti unamuweka wewe,wasimamizi wote umewateua wewe,walinda usalama wote wanakutii wewe!
Sasa hapo Kuna maajabu!!tumia ubongo usitumie makamasi!!
Kama anataka kufanya maajabu,afanye hv,huko duniani bei ya mafuta imepanda,hapa ishuke mpaka 1500!!kuanzia mwakani sukari yote izalishwe hapa,bei ya Michele iwe 1500,wakulima wawe na uwezo wa kununua Prado ya milioni 40!
Kati ya vijana 800K wanaoingia sokoni kila mwaka kutoka vyuoni,700K,wapate ajira zenye kipato kuanzia 700K!!
Yaambie ukweli! Lijamaa limoja nikupe gari, mshahara unitangazie mpinzani. Kumbe linavunja katiba!
 
Ningependaa wewe ndio unieleze Elimu yako ili nijuwe Nani alikufundisha kuwa ukishindwa na kuishiwa hoja Basi uwe unatukana matusi tu, hata hivyo nimekusamehe na siwezi nikakutukana maana kwangu Namheshimu kila mtu hata ninayetofautiaana Naye bado nitamjibu kwa hekima na busara tu

Kwanguu Mimi utu wa mtu Ni Jambo la msingi na ndicho nimefundishwa hivyo

Hata Rais wetu Ndio maana unaona akikaa hata na wapinzani wake wa kisiasa ili kuzungumza na kukubaliana yanayokubalika na Kuendelea na mazungumzo kwa Yale yanayohitaji mjadala mrefu na maridhiano ya pamoja,

Hata wewe nakushauri kufuata mkondo huu wa kuvumiliana na kukosoana kwa hekima na busara,
Nyambafu wewe
 
Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja kumtikisa Mh. Rais uchaguzi ujao.

Hii inatokana na ukweli kwamba upinzani ulikuwa unategemea makosa ya serikali ili upate ajenda na kujijenga, lakini Mama Samia Suluhu Hassani, punde tu baada ya kuapishwa ni Kama alikuwa analijua hilo. Kwa sasa ndani ya mwaka mmoja na miez kadhaa ameziba mianya yote na kuunyima upinzani ajenda na sera kwa serikali yake, kwa hiyo sasa hivi wapinzani wanashindwa wawaeleze nini wananchi, maana kila kitu kimeguswa na kufanyiwa kazi na Mh. Rais.

Ndio maana unaona wapinzani wengi sana wanamuunga mkono Mh. Rais kwa kazi kubwa anazofanya katika kuijenga nchi yetu. Hakika siasa ni sayansi na mama ameumaliza upinzani kisayansi kwa kufanya kazi wanayohitaji wananchi. Maana wananchi walichokuwa wanahitaji ni mtumishi wao, na kwa sasa Mama Samia Suluhu Hassani amepatikana, hivyo hawana muda tena na habari za vurugu, maandamano, makelele wala matusi kwa serikali.

Mama anaupiga mwingi, ni Mama hadi 2030 hapo ndiyo tutaanza mazungumzo baada ya kufika kituo hicho. Kikubwa ni maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na kumpigania Mh. Rais wetu, ampatie na kumjalia uzima na afykumdanganya

endelea kumdanganya matozo haya yatamwangusha
 
Watanzania wengi Sana wameguswa na utendaji kazi wa mh Rais, embu niambie hapo ulipo Kama mh Rais hajakufikia, au hujaona shule , zahanati,vituo vya Afya, zikijengwa hapo mtaani kwako, vipi wewe siyo mkulima, Kama Ni mkulima hujasikia habari za mbolea za Ruzuku

..kuzoa kura zote sio jambo jema kwa kiongozi, chama, au nchi kwa ujumla.

..kwa maoni yangu raisi au chama tawala hawahitaji zaidi ya 57% ya kura zote.

..ushindi wa kiasi, na sio ushindi wa kimbunga, unalazimisha chama tawala kuongoza kwa uangalifu, na kuzuia ulevi wa madaraka.

..sio vizuri kiongozi kusomba kura zote kiasi cha kujiona yeye na chama chake hawana mbadala, au ni wakubwa kuliko nchi.
 
Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja kumtikisa Mh. Rais uchaguzi ujao.

Hii inatokana na ukweli kwamba upinzani ulikuwa unategemea makosa ya serikali ili upate ajenda na kujijenga, lakini Mama Samia Suluhu Hassani, punde tu baada ya kuapishwa ni Kama alikuwa analijua hilo. Kwa sasa ndani ya mwaka mmoja na miez kadhaa ameziba mianya yote na kuunyima upinzani ajenda na sera kwa serikali yake, kwa hiyo sasa hivi wapinzani wanashindwa wawaeleze nini wananchi, maana kila kitu kimeguswa na kufanyiwa kazi na Mh. Rais.

Ndio maana unaona wapinzani wengi sana wanamuunga mkono Mh. Rais kwa kazi kubwa anazofanya katika kuijenga nchi yetu. Hakika siasa ni sayansi na mama ameumaliza upinzani kisayansi kwa kufanya kazi wanayohitaji wananchi. Maana wananchi walichokuwa wanahitaji ni mtumishi wao, na kwa sasa Mama Samia Suluhu Hassani amepatikana, hivyo hawana muda tena na habari za vurugu, maandamano, makelele wala matusi kwa serikali.

Mama anaupiga mwingi, ni Mama hadi 2030 hapo ndiyo tutaanza mazungumzo baada ya kufika kituo hicho. Kikubwa ni maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na kumpigania Mh. Rais wetu, ampatie na kumjalia uzima na afya njema.
Safiii
 
Atazoa kura zote kwa sababu ya udanganyifu Hali ilivyo mbaya hivi azoe kura zote kwa lipi?; Watafuta teuzi bwana mnatia hasira sana
 
Hakuna wa kushindana na mh Rais Samia suluhu Hassani kwa Sasa, kaudhoofisha Upinzani kwa kuchapa kazi bila kupumzika, kwa Sasa uungwaji mkono wa watanzania kwa mh Rais wetu Ni mkubwa Sanaa
Hakuna wakushindana nae lakni wapinzani wakitakakufanya vikao vyao au mikutano mnawakamata na kuwafungulia kesi na kipindi chá uchaguzi kuwateka,kuwapa kesi za jinai, kuwapa na kila aina ya hujuma.

Kama unawafanyia hivyo wapinzani wako bado udhaifu na hujiamini kwenye ushindani.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja kumtikisa Mh. Rais uchaguzi ujao.

Hii inatokana na ukweli kwamba upinzani ulikuwa unategemea makosa ya serikali ili upate ajenda na kujijenga, lakini Mama Samia Suluhu Hassani, punde tu baada ya kuapishwa ni Kama alikuwa analijua hilo. Kwa sasa ndani ya mwaka mmoja na miez kadhaa ameziba mianya yote na kuunyima upinzani ajenda na sera kwa serikali yake, kwa hiyo sasa hivi wapinzani wanashindwa wawaeleze nini wananchi, maana kila kitu kimeguswa na kufanyiwa kazi na Mh. Rais.

Ndio maana unaona wapinzani wengi sana wanamuunga mkono Mh. Rais kwa kazi kubwa anazofanya katika kuijenga nchi yetu. Hakika siasa ni sayansi na mama ameumaliza upinzani kisayansi kwa kufanya kazi wanayohitaji wananchi. Maana wananchi walichokuwa wanahitaji ni mtumishi wao, na kwa sasa Mama Samia Suluhu Hassani amepatikana, hivyo hawana muda tena na habari za vurugu, maandamano, makelele wala matusi kwa serikali.

Mama anaupiga mwingi, ni Mama hadi 2030 hapo ndiyo tutaanza mazungumzo baada ya kufika kituo hicho. Kikubwa ni maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na kumpigania Mh. Rais wetu, ampatie na kumjalia uzima na afya njema.
Nyie Takataka wa UVCCM ndo mmeharibu JF, nyambaf nyie
 
25% ya ajira POSTA ni kwaajili ya waZanzibar,kweli tunakwenda kumrundikia mikura yote katutoa tongo tongo waTanganyika.
 
Atazoa kura zote kwa sababu ya udanganyifu Hali ilivyo mbaya hivi azoe kura zote kwa lipi?; Watafuta teuzi bwana mnatia hasira sana
Kwa kazi alizozifanya imepelekea watanzania watamani hata kusiwepo uchaguzi wa Urais maana wanamhitaji Sana mh Rais wetu Mama Samia ili aendee kututumikia watanzania, kwani ameonyesha dhamira ya dhati katika kuijenga nchi hii, Ameonyesha namna alivyo na kiu ya kuona kila mwananchi anainuka kiuchumi na kusonga mbele kimaendeleo
 
Vyama vya ukombozi viliondoka mda , sasa tunaka Vyama vya maendeleo na kuleta demokrasia Duniani.
 
Back
Top Bottom