Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

Katiba aliyotuachia Adam nae alikuwa mtu wa hovyo tu yote haya yanatokea kwa sababu yake
 
Yaambie mapimbi yote!
 
Yaambie ukweli! Lijamaa limoja nikupe gari, mshahara unitangazie mpinzani. Kumbe linavunja katiba!
 
Nyambafu wewe
 

endelea kumdanganya matozo haya yatamwangusha
 

..kuzoa kura zote sio jambo jema kwa kiongozi, chama, au nchi kwa ujumla.

..kwa maoni yangu raisi au chama tawala hawahitaji zaidi ya 57% ya kura zote.

..ushindi wa kiasi, na sio ushindi wa kimbunga, unalazimisha chama tawala kuongoza kwa uangalifu, na kuzuia ulevi wa madaraka.

..sio vizuri kiongozi kusomba kura zote kiasi cha kujiona yeye na chama chake hawana mbadala, au ni wakubwa kuliko nchi.
 
Safiii
 
Atazoa kura zote kwa sababu ya udanganyifu Hali ilivyo mbaya hivi azoe kura zote kwa lipi?; Watafuta teuzi bwana mnatia hasira sana
 
Hakuna wa kushindana na mh Rais Samia suluhu Hassani kwa Sasa, kaudhoofisha Upinzani kwa kuchapa kazi bila kupumzika, kwa Sasa uungwaji mkono wa watanzania kwa mh Rais wetu Ni mkubwa Sanaa
Hakuna wakushindana nae lakni wapinzani wakitakakufanya vikao vyao au mikutano mnawakamata na kuwafungulia kesi na kipindi chá uchaguzi kuwateka,kuwapa kesi za jinai, kuwapa na kila aina ya hujuma.


Kama unawafanyia hivyo wapinzani wako bado udhaifu na hujiamini kwenye ushindani.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Nyie Takataka wa UVCCM ndo mmeharibu JF, nyambaf nyie
 

25% ya ajira POSTA ni kwaajili ya waZanzibar,kweli tunakwenda kumrundikia mikura yote katutoa tongo tongo waTanganyika.
 
Atazoa kura zote kwa sababu ya udanganyifu Hali ilivyo mbaya hivi azoe kura zote kwa lipi?; Watafuta teuzi bwana mnatia hasira sana
Kwa kazi alizozifanya imepelekea watanzania watamani hata kusiwepo uchaguzi wa Urais maana wanamhitaji Sana mh Rais wetu Mama Samia ili aendee kututumikia watanzania, kwani ameonyesha dhamira ya dhati katika kuijenga nchi hii, Ameonyesha namna alivyo na kiu ya kuona kila mwananchi anainuka kiuchumi na kusonga mbele kimaendeleo
 
Nyie Takataka wa UVCCM ndo mmeharibu JF, nyambaf nyie
Huo Ni ukweli wa wazi kuwa hakuna wa kuweza kushindana na mh Rais Samia hapa nchini, Ni mama wa shoka, mchapa kazi asiye choka, muda na mawazo yake yapo katika kuwatumikia watanzania
 
Vyama vya ukombozi viliondoka mda , sasa tunaka Vyama vya maendeleo na kuleta demokrasia Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…