Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

2020 mlisema hivyohivyo kwa JIWE TAKATIFU...mwsho wa Siku mkaishia kuiba kura kwa kiwango Cha kimataifa na Cha kipuuzi...
 
N
Hata wale haters saizi wanayetemeka..

Mbarawa alisema mwezi wa Tisa magari yataanza kupita Wami itakuwa hivyo ujenzi uko hatua za mwisho 👇
Ndio maana wapinzani wameamua yaishee tu maana wameona kwa Kasi hii ya mama hawawezi ambulia kitu, Ndio maana unaona hata akina mh Mbowe wanamuunga mkono mh Rais katika kuijenga Tanzania chini ya mh Rais wetu
 
Acha TU MKUU,vitu vimepanda Bei HATARI Sana...
Swala Hilo Ni la Dunia yote japo sisi huku yumepata bahati ya mama kupambana nalo hatua kwa hatua kwa kutenga fedha kwa ajili ya kutoa Kama Ruzuku ili kumpunguzia mzigo mwananchi, mh Rais amefanya hivyo katika mafuta kwa kutoa billion Mia moja kila mwezi, pia katika kilimo ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku ili Bei ya mbolea ipungue

Tuna Imani na mh Rais kuwa atatuvusha salama hata hapa na ndio maana unaona akipata uungwaji mkono kila mahali,
 
Bila kusahau anateua mpaka idadi ya magoli atakayokufunga
 
Mh mama Samia suluhu Hassani 2025 usidanganyike kuchukua fomu utaaibika.
CCM viongozi wanakundanganya , CCM wanachama wanakusema vibaya mno.
Sabuni ya Kufulia nguo kipande ni Tsh 1,200 /=
Asiwasikilize hao wenye kuimba mapambio !! Kazi nzito inatakiwa kufanywa kabla ya 2025 !!
 
Hadi changudoa wamepanda bei ukiuliza sababu unajibiwa ni vita ya Russia.

Asiwasikilize hao wenye kuimba mapambio !! Kazi nzito inatakiwa kufanywa kabla ya 2025 !!
Kazi nzito na ya kutukuka mh Rais anaendelea kuifanya siku Hadi siku, Ndio maana muda wote unamuona mh Rais akiwa kazini kushughulikia kero mbalimbali
 
Naomba mkuu nikuulize swali,na majibu ukae nayo siyahitaji...jijibu TU moyon mwako...JE UNA FAMILIA?JE WANAJUA HII AIBU UNAYOIPATA HUKU?JE WANAJUA UNALIPWA BUKU SABA,KUTETEA UONGO?MUNGU AKUBARIKI MKUU...
 
Wewe wapiga kura hizo za kuzoa, ulikutana nao wapi? Uchawa ukizidi unakuwa mpumbavu,
Wapiga kura huku mtaani wanasubiri tu uchaguzi ili wamlipe mama kwa kumpigia kura kutokanaa na kazi kubwa aliyoifanya na anayoendelea nayo, wanasema watahamasishana kwenda kumpigia kura kwa wingi ili kumpa faraja na kumtia moyo kuwa aendelee kuwatumikia watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…