Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

Hwawa ni kati ya wale wateuliw baada ya kukaa benchi mda mrefu na njaa kali na kwa kuwa wengi ubunifu hawana basi wakiteuliwa huja na threads Tumbo kama hizi.
Sina cheo chochote Ila nimeridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa mh Rais uliotuheshimisha watanzania, kwa Sasa ndio maana unaona hata mafuriko ya watalii yanavyoendelea kumiminika hapa nchini, hayo Ni matunda ya Royal Tour na uimarishwaji wa diplomasia uliofanywa na mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan
 
Ondoa ujinga wako
Ndugu zangu wahenga walishasema Nyota njema huonekana asubuhi, kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya mh Rais katika kuijenga Tanzania mpya, Ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita.

Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo Wala nguvu ya kuweza kuja kumtikisa mh Rais uchaguzi ujao.

Hii inatokana na ukweli kwamba upinzani ulikuwa unategemea makosa ya serikali ili upate ajenda na kujijenga, lakini Mama Samia suluhu Hassani, punde tu baada ya kuapishwa Ni Kama alikuwa analijuwa Hilo.

Kwa sasa ndani ya mwaka mmoja na miez kadhaa ameziba mianya yote na kuunyima upinzani ajenda na Sera kwa serikali yake, kwa hiyo saiz wapinzani wanashindwa wawaeleze Nini wananchi maana kila kitu kimeguswa na kufanyiwa kazi na mh Rais.

Ndio maana unaona wapinzani wengi Sana wanamuunga mkono mh Rais kwa kazi kubwa anazofanya katika kuijenga nchi yetu.

Hakika siasa Ni sayansi na mama ameumaliza upinzani kisayansi kwa kufanya kazi wanayohitaji wananchi, maana wananchi walichokuwa wanahitaji Ni mtumishi wao na kwa Sasa mama Samia suluhu Hassani amepatikana, hivyo hawana habari tena na habari za vurugu Wala maandamano Wala makelele Wala matusi kwa serikali.

Mama anaupiga mwingi, Ni mama Hadi 2030 Ndio tutaanza mazungumzo baada ya kufika kituo hicho.

Kikubwa ni maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na kumpigania mh Rais wetu, ampatie na kumjalia uzima na Afya njema.
 
Waruhusu mkutano wa hadhara mmoja tu waongele japo ughali wa vitu watakuwa wamemaliza kazi.
 
Sina cheo chochote Ila nimeridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa mh Rais uliotuheshimisha watanzania, kwa Sasa ndio maana unaona hata mafuriko ya watalii yanavyoendelea kumiminika hapa nchini, hayo Ni matunda ya Royal Tour na uimarishwaji wa diplomasia uliofanywa na mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan
Kule Songwe kwa babu zako kuna watalii?
 
K

Kazi ipi Anafanya?
Zitaje nje ya kuomba mikopo ya kujenga madarasa na vyoo?
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu huwezi ukapewa hata hiyo mikopo Kama hueleweki eleweki, hiyo Ni sawa hata wewe hapo ukipata na shida utapata wa kukusaidia fedha endapo tu utakuwa unaaminika na mwaminifu na inajulikana kuwa wewe Ni mtu wa mipango na malengo, Nani akupe pesa take wewe Kama wewe wakati anajuwa huna uwezo wa kulipa na utaishia kunywea pombe na kushindwa kurejesha

Chini ya mama Samia suluhu Hassani, Tanzania Tunaaminika na mabenki na taasisi mbalimbali,.anakubalika na kuwavutia wengi kwa kuwa ana Malengo na dhamira za kumkwamua mwananchi mnyonge na maskini, Jambo ambalo ndio ajenda ya Dunia kupunguza umaskini, kuboresha huduma za kijamii Kama anavyofanya mh Rais wetu
 
Ndugu zangu wahenga walishasema Nyota njema huonekana asubuhi, kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya mh Rais katika kuijenga Tanzania mpya, Ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita.

Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo Wala nguvu ya kuweza kuja kumtikisa mh Rais uchaguzi ujao.

Hii inatokana na ukweli kwamba upinzani ulikuwa unategemea makosa ya serikali ili upate ajenda na kujijenga, lakini Mama Samia suluhu Hassani, punde tu baada ya kuapishwa Ni Kama alikuwa analijuwa Hilo.

Kwa sasa ndani ya mwaka mmoja na miez kadhaa ameziba mianya yote na kuunyima upinzani ajenda na Sera kwa serikali yake, kwa hiyo saiz wapinzani wanashindwa wawaeleze Nini wananchi maana kila kitu kimeguswa na kufanyiwa kazi na mh Rais.

Ndio maana unaona wapinzani wengi Sana wanamuunga mkono mh Rais kwa kazi kubwa anazofanya katika kuijenga nchi yetu.

Hakika siasa Ni sayansi na mama ameumaliza upinzani kisayansi kwa kufanya kazi wanayohitaji wananchi, maana wananchi walichokuwa wanahitaji Ni mtumishi wao na kwa Sasa mama Samia suluhu Hassani amepatikana, hivyo hawana habari tena na habari za vurugu Wala maandamano Wala makelele Wala matusi kwa serikali.

Mama anaupiga mwingi, Ni mama Hadi 2030 Ndio tutaanza mazungumzo baada ya kufika kituo hicho.

Kikubwa ni maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na kumpigania mh Rais wetu, ampatie na kumjalia uzima na Afya njema.
Ccm hata wakiweka kibuyu au Jiwe,kitashinda tu,
Tume unaichagua wewe,mwenyekiti unamuweka wewe,wasimamizi wote umewateua wewe,walinda usalama wote wanakutii wewe!
Sasa hapo Kuna maajabu!!tumia ubongo usitumie makamasi!!
Kama anataka kufanya maajabu,afanye hv,huko duniani bei ya mafuta imepanda,hapa ishuke mpaka 1500!!kuanzia mwakani sukari yote izalishwe hapa,bei ya Michele iwe 1500,wakulima wawe na uwezo wa kununua Prado ya milioni 40!
Kati ya vijana 800K wanaoingia sokoni kila mwaka kutoka vyuoni,700K,wapate ajira zenye kipato kuanzia 700K!!
 
Kule Songwe kwa babu zako kuna watalii?
Ndio wapo wanakuja kuangalia kimondo namba mbili kwa ukubwa duniani ukiachana na kile Cha kule marekani, karibu Sana kwetu ujionee kimondo hiki Cha maajabu na kivutio Cha utalii kinachopatikana mkoa wa Songwe, wilaya ya mbozi, karibu Sana ndugu yangu,

Lakini lazima ujuwe kuwa fedha zinazotokana na utalii ndio hizo zinagawanywa Kama keki ya Taifa, Ambapo zingine zinakwenda kujenga shule,vituo vya Afya, usambazaji wa umeme na maji Safi,

Lakini pia utalii unatusaidia kupata fedha za kigeni zinazotusaidia kuagiza au uagizaji wa bidhàa muhimu toka nje ya nchi, kama vile dawa za binadamu na hata vifaa Tiba ambavyo tunakuwa hatuzalishi hapa nchini

Mama ndio tumaini la watanzania kwa Sasa katika kutuletea maendeleoa kwa kushirikiana nasi watanzania wazalendo

Ni mama Hadi 2030, Ni mama tu ndio habari ya mtaani kwa sasa
 
Hata tume iwe huru Kama huna Sera na ajenda Nani atakuchagua? Kinachokufanya uchaguliwe na kuungwa mkono Ni Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu,

Kwa Sasa mama ndio kabeba na kufanyia kazi ajenda za wananchi, ndio maana unaona namna anavyoungwa mkono, ndio sababu pia ya wapinzani kukosa ajenda na kuamua kuungana na mama yetu mh mama Samia suluhu Hassani katika ujenzi wa Tanzanian mpya
 
Ndio wapo wanakuja kuangalia kimondo namba mbili kwa ukubwa duniani ukiachana na kile Cha kule marekani, karibu Sana kwetu ujionee kimondo hiki Cha maajabu na kivutio Cha utalii kinachopatikana mkoa wa Songwe, wilaya ya mbozi, karibu Sana ndugu yangu,

Lakini lazima ujuwe kuwa fedha zinazotokana na utalii ndio hizo zinagawanywa Kama keki ya Taifa, Ambapo zingine zinakwenda kujenga shule,vituo vya Afya, usambazaji wa umeme na maji Safi,

Lakini pia utalii unatusaidia kupata fedha za kigeni zinazotusaidia kuagiza au uagizaji wa bidhàa muhimu toka nje ya nchi, kama vile dawa za binadamu na hata vifaa Tiba ambavyo tunakuwa hatuzalishi hapa nchini

Mama ndio tumaini la watanzania kwa Sasa katika kutuletea maendeleoa kwa kushirikiana nasi watanzania wazalendo

Ni mama Hadi 2030, Ni mama tu ndio habari ya mtaani kwa sasa
Nipe maendeleo uliyoyaona wilayani mwako, Yaani kimondo cha Ndolezi ambacho kipo miaka nenda rudi hata barabara iendayo kule ni ya mashimomashimo wewee unakuja na tantalilaaa we Songo wee Mukwizyaa mwanawitu?
 
Ni kweli kabisa kwamba kwa sasa kwenye nchi yetu hamna mpinzani anayeonekana kuwa na mvuto wa Urais, ila mnamdanganya sana Rais.
Fanyeni utafiti kwa kuuliza watu wa hali ya chini ambao ndio wapiga kura wengi,mtagundua kitu.
 
Hapo Kenya unapopasifia kwani hujasikia Raila Odinga anailalamikia Tume au hujasikia akijitangaza kuwa Ni mahindi hata kabla ya matokeo, Sasa unataka kusema Nini tuelewe vizuri
Hata Mwenyekiti wa Tume awe Mbowe,mgombea awe Lisu na IGP awe Kigaila Benson bado Samia atashinda saa 3 asubuhi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220817-084630.png
    Screenshot_20220817-084630.png
    113.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom